Mkuu hatutakiwi kupenda 100% mapenzi yatakupoteza ni asilimia 15 tu kupendaNamwambia akafie mbele, namwombea mabaya atapata mtu wa kumtesa kwani mm aliniona ni boya nilivyokuwa mwaminifu kwake
Lazima ntakua ni mimi ninaeongelewa[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Anisamehe sana kwa kumuumiza vile, huku nilipo ni mateso tuu..natamani nirudishe muda nyuma nisimkosee tena lakini nd ivo haiwezekani. You're so missed Baby J
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nmecheeeeka kifala"Mi ndio maji usiponinywa utanioga, usiponioga hata chooni utanitumia, usipontumia chooni utanifulia nguo zako nenda mwanakwenda", hapa still unampenda but unajifanya mwache aendee [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ni wewe kweli JLazima ntakua ni mimi ninaeongelewa[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asipite njia ninayopita
Alinipenda sana, alifanya kila alichoweza ili nione thaman ya upendo wake kwangu. Alinibeea zawadi kila alipopata nafasi kwenda town. Alikuja geto akafua, alipika, akaosha vyombo, akatandika kitanda na kila kazi. Weekend alipokua haendi kazin tulishinda ndani kwangu kutwa nzima.Duh bitter to be swallowed, Mungu akupe wepesi, mungu anasikiliza nafsi yenye majuto, but its better ukamwomba msamaha personally then urafiki kati yenu uendelee
Mtendwa hutendwa mkuu, what's go around comes around, karma is working mkuuAlinipenda sana, alifanya kila alichoweza ili nione thaman ya upendo wake kwangu. Alinibeea zawadi kila alipopata nafasi kwenda town. Alikuja geto akafua, alipika, akaosha vyombo, akatandika kitanda na kila kazi. Weekend alipokua haendi kazin tulishinda ndani kwangu kutwa nzima.
Sijui nilikua na akili gani aisee...Alinifumania akalia sana..nilimbembeleza anisamehe na kum promise sitorudia tena, ilibaki kidogo aniache kipindi kile lakini baada ya dada angu mmoja kumbembeleza sana akakubal kurudisha moyo wake nyuma. Nilimhakikishia sitofanya ujinga tena, akarudisha imani yake kwangu na mapenzi yakaendelea...
Lakini bado sikuacha ule mchezo japo wakat huu nliufanya kwa siri na umakin zaidi japo walikuja kuharibu wahenga tuu pale waliposema kila lenye mwanzo lina mwisho wake, wiki mbili tuu baadae akaja kunifumania tena na mwanamke yuleyule...ooh why did i hurt that innocent heart kwa kiasi kile.
Now anaonekana ana furaha na hanichukii, she calls kuuliza naendekea vipi na hali na vitu kama ivo..ameamua ku move on.,
Shida nnayopata huku sijui hata nielezeeje..janamke babe babe tuu likija hata lilale siku mbili halijishughulishi na kazi yoyote, chakula halipiki eti tukale mtaani, tukipita sehem anachagua vitu na kuweka kwene mkoba kisha ananitumbulia macho hapo anasubiri nilipe.
MamboSina ex
Aaamin.My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.
Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Halitokaa litokee milele
Nilishapoa my kakaPole inaelekea mlikuwa kama chanda na pete.