Ujumbe Mpya Kuzuia Maambukizi Mapya ya VVU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe Mpya Kuzuia Maambukizi Mapya ya VVU

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Amavubi, Oct 31, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,756
  Trophy Points: 280
  Kutokana na ukindhani kati ya Dini na Serikali za Dunia juu jinsi ya Kuzuia Mambukizi Mapya hasa kwa matumizi ya Kondomu, mtu mmoja amebuni ujumbe ufuatao ili ku-balance

  "The Bible/Quran may Save your Soul; BUT Condom Your Life"......

  ..........WE ARE NOT ALL INFECTED BUT WE ARE ALL AFFECTED...................
   
 2. W

  Wajad JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Ujumbe huo sio mpya! Umekuwepo siku zote tangu ukimwi ulipoanza kushamiri.
   
 3. S

  Sunga Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Mmm kwa hali iyo inatisha!
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,756
  Trophy Points: 280
  si haba kuendelea kuukumbushia, unaweza kuwa mpya kwako kwa mwingine mgeni, hata UKIMWI wenyewe umekuwepo kwa muda mrefu.................nashukuru kutukumbusha anyway
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,756
  Trophy Points: 280
  wengi tunajikinga kwa maneno si kwa vitendo
   
Loading...