Jumbe Brown kuna ujumbe wako hukuKUPE walimnyonya damu mjomba!
🤣🤣Jumbe Brown kuna ujumbe wako huku
Huyo anajiita Nyuki wa mama.Jumbe Brown kuna ujumbe wako huku
Chawa na nao wana makundi yao
1. Chawa original > hawawapo mda wote bilakujali hari na wakati wataaramu wa kuwinda fulsa.
2. Chawa viparata > hawa wana njaa ya msimu na hupatikana zaidi wakati wa uchaguzi.
3. Chawa mtandao > hawa maskani yao mtandaoni kusifu na kuabudu mtandaoni ili waonekane
4. chawa kiguruwe > hawa kazi yao kujifanya wanawakilisha mawazo ya watanzania bila kutumwa
5. Chawa madoido > si weusi wala si weupe wapowapo tu hawa ni bendera fuata upepo.
Huyo anajiita Nyuki wa mama.
Ni mdudu tu kama wadudu wengine. Nzi wa kijani, kenge, Chawa , viroboto na kupé.
CCM imejaa wadudu.
Njaa imewafanya hawa watoto waolewe Mombasa na wanaume wenzao.
Duuuh 😳😳😳🤣🤣Huyo anajiita Nyuki wa mama.
Ni mdudu tu kama wadudu wengine. Nzi wa kijani, kenge, Chawa , viroboto na kupé.
CCM imejaa wadudu.
Njaa imewafanya hawa watoto waolewe Mombasa na wanaume wenzao.
Uhuru wa kutoa maoni kama unavyoonekana katika Ibara ya 18 ya Katiba sio absolute lazima utumike kwa kuzingatia sheria nyingine tulizojiwekea kama Nchi.
Swala la Mbowe limeshafika Mahakamani hivyo tunapaswa kuamini mchakato huo tukitarajia mwisho wake.
Swala la kama mbowe kweli kafanya au hakufanya linabakia kwake yeye na Mungu wake kwani yeye Mbowe ana maisha ya aina mbili 1. Maisha ya kisiasa ambayo ndiyo wengi wetu tunamfahamu 2. Maisha binafsi ambayo ni wachache mno wanaweza yafahamu.
Ikumbukwe kwamba Kesi za jinai huwa zinahitaji jamhuri kuthibitisha madai pasi na shaka yeyote hivyo kwa mshtakiwa kuwa huru hii inategemea na ushahidi uliopatikana wakati anapelekwa mahakamani.
Kama ushahidi haujitoshelezi basi anaweza achiwa. Ila kama ushahidi utajitosheleza basi atatiwa hatiani.
Inawezekana kabisa akawa ametenda kosa lakini ushahidi usijitosheleze.
Ndio maana nasema wadau wapunguze mihemko na kuacha mahakama ifanye kazi yake.
Pili swala la kuwa kosa limetendeka ama la lipo ndani ya moyo wa Mbowe mwenyewe. Yeye ndio anajua kuliko mtu mwingine yeyote lakini anaweza akaamua kukaa kimya.
🤣🤣
Ankali hebu nisikilize....ankali eee wanaonijua watakueleza kuwa mimi si chawa bali kijana mwenye OBSSESSION na itikadi ya CCM....
Ankali eee mimi si chawa bali ninakipenda CCM kwa kuwa ninawajua watanzania....ninazijua hulka zao....CCM kinaendana na hulka za watanzania walio wengi....labda ningekuwa mkenya na niko Kenya nisingekisapoti CCM...🤣🤣
Ankali sina sifa nyingi bali nina utii na ahadi kwa yeyote aliye juu yangu kikazi na kimajukumu.....
Ankali mimi si "mwanaharakati" wa silsila za siasa na itikadi za kiliberali .....
Ankali eee hata wewe ukinipa kazi ya ukolokoloni hapo nyumbani kwako basi hutojuta kwa UTII NITAKAOKUONESHA......
Ankali naipenda CCM mno toka awamu ya 4,5,6 na hata ukiwa wewe mwenyekiti wetu taifa wa awamu ya 8 nitakutii vilevile......
Hau eee mchana mwema hapo "KIBANDANI" mtaa wa ufipa....🤣🤣🤣
#Siempre CCM🙏
🤣🤣Bwana Jumbe Brown unaonaje utiifu kama huu?
View attachment 2079445
Huu si ndiyo kama wa kwako sasa?
Uhuru wa kutoa maoni kama unavyoonekana katika Ibara ya 18 ya Katiba sio absolute lazima utumike kwa kuzingatia sheria nyingine tulizojiwekea kama Nchi.
Swala la Mbowe limeshafika Mahakamani hivyo tunapaswa kuamini mchakato huo tukitarajia mwisho wake.
Swala la kama mbowe kweli kafanya au hakufanya linabakia kwake yeye na Mungu wake kwani yeye Mbowe ana maisha ya aina mbili 1. Maisha ya kisiasa ambayo ndiyo wengi wetu tunamfahamu 2. Maisha binafsi ambayo ni wachache mno wanaweza yafahamu.
Ikumbukwe kwamba Kesi za jinai huwa zinahitaji jamhuri kuthibitisha madai pasi na shaka yeyote hivyo kwa mshtakiwa kuwa huru hii inategemea na ushahidi uliopatikana wakati anapelekwa mahakamani.
Kama ushahidi haujitoshelezi basi anaweza achiwa. Ila kama ushahidi utajitosheleza basi atatiwa hatiani.
Inawezekana kabisa akawa ametenda kosa lakini ushahidi usijitosheleze.
Ndio maana nasema wadau wapunguze mihemko na kuacha mahakama ifanye kazi yake.
Pili swala la kuwa kosa limetendeka ama la lipo ndani ya moyo wa Mbowe mwenyewe. Yeye ndio anajua kuliko mtu mwingine yeyote lakini anaweza akaamua kukaa kimya.
🤣🤣
Ya kwamba kila tukidhihirisha mapenzi yetu kwa wengine ni UCHAWA?!!!
Yule Mariki Sekeni aliyeichora tatoo ya mh.Mbowe begani humfahamu?!!!
In shaa Allah nitamtamtafuta nikuunganishe naye.....
Ankali UMEMSAHAU Harmonize na ile tattoo?!!!
Ndugu zetu wanajichora tattoo za MESSI ,OBAMA ,MO SALAH ,RICK ROZAY ,LIL WIZZY na wengineo ,nao MACHAWA?!!!
Eti ankali eee hao wote nao ni NYUKI ,KUPE NA FUNZA?!!!😳🤣
Karibu Al Kasus mujarabu hapa🙏View attachment 2079469