Ujumbe maalumu kwa Mzee Jaji Warioba

Ujumbe maalumu kwa Mzee Jaji Warioba

Nimeona mwezi huu wamekufuata Nchimbi, spika, na makamu wa kwanza wa Zanzibar, najua mmeongea mengi tafadhali chonde chonde kaa mbali nao, si umemwona huyo msaliti aliemsaliti Polepole anajutia sana.
Kabisa mkuu
 
Angelijisahihisha akiwa madarakani ningelimuelewa. Nakupa nyingine; unajua mwaka 2015 mwanae Kipi Warioba alipewa heshima ya kugombea Ubunge Kawe? Alipambana na Halima Mdee. CCM akishirikiana na Mzee Warioba walifanya kila mbinu atangazwe "Mshindi" na matokeo yalichelewshwa sana, mwishowe Kipi akashindwa. Unajua hilo?

Unajua baada ya hapo, Kipi Warioba alipewa U-DC na kipindi chote mwanae akiwa DC Mzee Warioba aliufyata? Je, unajua baada ya kuondolewa kwenye U- DC mwanae ndio ameibuka tena? This Mzee Warioba is failure!!
Unataka kusema nini sasa, hata hujui unataka kusema nini
 
Heshima kwako mzee! Sina mengi, Nakuomba CCM wasikuingize kwenye laana ya ya mauaji ya Oktoba 29, endelea kusimamia haki.

Nimeona mwezi huu wamekufuata Nchimbi, spika, na makamu wa kwanza wa Zanzibar, najua mmeongea mengi tafadhali chonde chonde kaa mbali nao, si umemwona huyo msaliti aliemsaliti Polepole anajutia sana.

By mwilist Gabeji
We kwl ni bwege, yule babu ameshajichokea anaweza kufanya nini, hana ushawishi wowote wameenda tu kumjulia hali, CCM ina hazina nyingi sana Warioba ni mtu aliyefukuzwa uwaziri mkuu hana rekodi yyte
 
Hata kama nyuma akifanya hayo yote amejisahisha, ameamua kuanza upya,KWA kupigania haki, na ww nikuulize swali je ww huwai kuongea uongo toka uzaliwe? Mungu huwa anangalia mwisho na sio mwanzo, mkuu
Kwl nyumbu wameishiwa mpk huyo ajuza asiye na uwezo wwte amekuwa keki kwenu?
 
Heshima kwako mzee! Sina mengi, Nakuomba CCM wasikuingize kwenye laana ya ya mauaji ya Oktoba 29, endelea kusimamia haki.

Nimeona mwezi huu wamekufuata Nchimbi, spika, na makamu wa kwanza wa Zanzibar, najua mmeongea mengi tafadhali chonde chonde kaa mbali nao, si umemwona huyo msaliti aliemsaliti Polepole anajutia sana.

By mwilist Gabeji
Na ACT wazalendo?
 
We kwl ni bwege, yule babu ameshajichokea anaweza kufanya nini, hana ushawishi wowote wameenda tu kumjulia hali, CCM ina hazina nyingi sana Warioba ni mtu aliyefukuzwa uwaziri mkuu hana rekodi yyte
AngaLau yyeye amethubutu kisema ukweli juu ya 29 october,haki, na katiba mpya
 
Mbona saizi mnapanga foleni kuenda kwake kumwomba ushauli, nn kifanyike baada ya kushindwa proganda zenu zote
 
Back
Top Bottom