Ujumbe maalum kwako Charminglady

Ujumbe maalum kwako Charminglady

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,258
Reaction score
13,368
Najua unatambua ya kuwa nakupenda sana sipo tayari kukupoteza kwa gharama yoyote. Wewe ndiye mama mwenye nyumba ila tambua ya kuwa Heaven on Earth atakuwa ni mchepuko wangu.

Nimeandika hadharani ili watu wote wajue kuwa nakupenda wewe pamoja na mchepuko mtarajiwa Heaven on earth nakili hadharani
 
ila uzi ni ule wa kuwachimba mikwala vidume ili wasimgegede dada yako hahahaaaa! Kama ana k atagalagazwa tu

Mkuu usinielewe vibaya, nakuelekeza tu sio lzm kupost kama huna cha maana! This is bullshit!

Halafu naomba nikusaidie kdg hapo juu, msamiati sahihi ni 'mkwara' sio 'mkwala'.
 
Mkuu usinielewe vibaya, nakuelekeza tu sio lzm kupost kama huna cha maana! This is bullshit!

Halafu naomba nikusaidie kdg hapo juu, msamiati sahihi ni 'mkwara' sio 'mkwala'.

naona ndicho ulichobahatika kugain ktk sheria yako uliyosoma ikiwa ni pamoja na kuona wivu anavyogegedwa dada yako nigermpup
 
Nilijua yamekwisha kumbe ile wapenda pesa blah blah
 
Hili jukwaa limepoteza ladha. Sad sad sad

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom