Ujumbe kwa Zitto: Umekimbia Nini, Unafanya Nini?

Ujumbe kwa Zitto: Umekimbia Nini, Unafanya Nini?

Zitto ndio mungu wa ACT - Mazalendo

unamawazo finyu, vyama vinaendeshwa na katiba na katiba ya ACT imeeleza waz na ndio maana ata mwananchi leo imerpot kuwa ZZK atamwachia uongoz wa chama atakayegombea urais km katiba inavosema...... unadhan hii n CDM?
 
Chadema ni genge la wahuni, Chama cha ukoo wa Mtei
 
Hatadumu hata huko. Roho aliyonayo haiwezi kumwacha kutulia. Ni kama mwizi anapoamua kujiibia baada ya kukosa wa kumwibia. Mwisho mbaya.
 
unamawazo finyu, vyama vinaendeshwa na kariba na katiba ya ACT imeeleza waz na ndio maana ata mwananchi leo imerpot kuwa ZZK atamwachia uongoz wa chama atakayegombea urais km katiba inavosema...... unadhan hii n CDM?

Kauli ya Mbowe ndio sheria ya Chadema, Mbowe hata akisema kesho BAVICHA wote mtembee uchi yatashangilia kama mazuzi
 
Hivi msajili wa vyama vya siasa anaitambua ACT IPI?
_ACT TANZANIA
AU
ACT WAZALENDO,?????
hii act Tanzania imeenda wapi?
 
Kauli ya Mbowe ndio sheria ya Chadema, Mbowe hata akisema kesho BAVICHA wote mtembee uchi yatashangilia kama mazuzi

ha ha haa ule usemi akili za kuambiwa changanya na zako yao hayautumii. Yaan kukicha yakaambiwa Silinde au Wenje msalit yoooote yanakurupuka wenje msalit msalit hayajielewi nlicheka saana kipnd cha bunge maalum ilivosemekana cjui nan na nan wamerud bungen yoote yaliamkia JF oooh tulijua msalit msalit kumbe hata hakwenda bungen timien akil zenu msiburuzwe na mbowe. WENZENU TUMESHALIONA NA HATUKO TENA
 
ACT haina mwenye chama hii sio CDM na ndio maana limbu na uasisi wake wote ashawekwa pemben koz n mzigo kwa chama hanauwezo na speed ya chama.... hapa hakuna cha mtei....

Nyote mmeisha kamatishwa masikio na zzk siwezi kushangaa maoni yako. Kama alifika na kufinyanga katiba ya act na mkazidi kushangilia, siwezi kutegemea jipya kutoka kwenu.
 
Ndani ya ACT hakujengwi chama; kunajengwa mtu. Ndani ya ACT hakuna demokrasia, kama kungekuwa na demokrasia kusingekuwa na mgogoro kati “wavamizi” wanaoongozwa na Zitto na genge lake; na wenye chama chao, wanaoongozwa na Lucas Kadawi Limbu, mwenyekiti mwanzilishi wa ACT Tanzania.

Limbu na wenzake leo hii, wako mahakamani kupinga kinachofanywa na Zitto, Prof. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba.-

Kama Zitto angekuwa mkweli, asingefanya mapinduzi ya chama kwa kubadilisha katiba kinyemela; falsafa ya chama, kadi za chama, nembo ya chama na jina la chama.

Ndani ya ACT kuna jitihada mahususi za kufukuza waasisi ili kumuandalia mtu mmoja makazi ya kisiasa; na mwenye maslahi binafi.

Nakubaliana na wewe kuwa mwenyekiti wa chama - Anna Elias Mughira, kwa jina jingine, Anna Shadrack Maghiya, siyo lolote siyo chochote. Amefanywa kama boya linaloelea baharini baada ya kukata nanga.

Anayeitwa kiongozi mkuu wa chama, ndiye mkuu wa chama kwenye mikutano mikuu ya chama taifa, Halmashauri Kuu (NEC) na Kamati Kuu (CC). Kiongozi mkuu wa chama, ndiye anayekuwa mkuu wa siasa, mshauri na mwelekezaji kwa viongozi wote na maafisa wa ACT-Tanzania.

Hata nafasi yake – Kiongozi Mkuu wa Chama – hakuna utaratibu wa kuigombea. Je, iko wapi demokrasia ambayo yeye na genge lake wamekuwa wakidai kuipigania?

Mbona mwenyekiti hana mamlaka ya kuagiza, kuteuwa; na au kuelekeza katibu mkuu wa chama ama mfanyakazi mtumishi mwingine wa chama? Madaraka yote yametupwa kwa kiongozi mkuu wa chama.
Iko wapi tofauti ya mfumo wa utawala wa kiongozi mkuu na utawala wa kifalme?-

Yako wapi majigambo ya kupigania demokrasia? Kwa hili, hata wale ambao Zitto anatuhumu udikiteta, hawajawahi kujiundia uungu wa aina hii.

Nyongeza; anayeruhusiwa kugombea urais wa Tanzania kupitia chama hiki ni Kiongozi mkuu wa chama tu. Hakuna ushindani wa wagombea ndani ya chama ili wachujwe na apatikane mgombea mmoja. Huu ni udikteta uliopitiliza.
 
Si mlituaminisha kuwa Zitto ameanzisha chama(ACT) akiwa ndani ya chama(CDM),huo uvamizi umetoka wapi tena?

Acheni unafiki wenu na kama huna kumbukumbu usiwe muongo.

Tafuta Kuna audio humu usikilize madai ya Mbowe juu ya hilo.
 
waambie wenzako hawajielewi kuna mmoja kakurupuka et threads za ZZK na ACT zianzishiwe jukwaa lingine ha ha haaa anadhan apa n CDM ambapo slaa aliamka na kufunga mjadala wa ZZK anadhan na uku JF kuna ujuha mpen pole lazma demokrasia iheshimiwe xaxa ndo huyu mwingine badala ya kuanzisha uzi mbowe yupo wap anakurupuka et ZZK kwan haon kuwa nyuzi za ZZK zko za kutosha. BUT TUNASHUKURU KWA PROMO. team wazalendo

Promo gani wewe, usijiape bure. Hapa ni full kuwaambia watanzania your true colors; taaratiibu hatuna haraka. Rudi kasome main thread ujibu hoja acha viroja wewe
 
unamawazo finyu, vyama vinaendeshwa na katiba na katiba ya ACT imeeleza waz na ndio maana ata mwananchi leo imerpot kuwa ZZK atamwachia uongoz wa chama atakayegombea urais km katiba inavosema...... unadhan hii n CDM?

Kwanini kusiwe na ushindani wa wagombea urais ili wanachama wawachuje na apatikane mshindi atakae peperusha bendera ya chama? Hivi wewe unaona imekaa sawa kweli mgombea mmoja bila mshindani?
 
Si mlituaminisha kuwa Zitto ameanzisha chama(ACT) akiwa ndani ya chama(CDM),huo uvamizi umetoka wapi tena?
.

Sio swala la kuaminishwa, za kuambiwa changanya na zako. Okay twende taratibu ili uelewe, katiba ya ACT inatamka bayana kwamba ili mwanachama agombee nafasi yeyote ya uongozi sharti atimize umri wa angalau miezi 6 akiwa mwanachama.Sasa Ayatoll-ah ZZK alitimiza hilo takwa la katiba? Sasa huoni kwamba tayari alikwishakuwa mwanachama kabla ya kujitangazia ufalme wa chama chake?
 
laki si pesa kama chadema ya wachaga kinana alifuata nini moshi we ngombe??
 
Last edited by a moderator:
Wengine wamewekwa hapo kama picha ili kutimiza malengo ya "mkuu" ambaye anajijua mwenyewe siku ikifika watatoana macho.
 
All in all, I wish them All the best, kila chama kina mapungufu yake hata Democratic Party ya Obama pia kina mapungufu!
 
Si mlituaminisha kuwa Zitto ameanzisha chama(ACT) akiwa ndani ya chama(CDM),huo uvamizi umetoka wapi tena?

Acheni unafiki wenu na kama huna kumbukumbu usiwe muongo.

Tafuta Kuna audio humu usikilize madai ya Mbowe juu ya hilo.

Ungenisoma Ungenielewa
 
Makao makuu ya Chadema wamejazana wachagga wanatafuna ruzuku kama mchwa
 
Back
Top Bottom