Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Kwenu nyote mliohama vyama vyenu (haijalishi ni chama gani ulikotoka na chama gani ulihamia) naomba jibu swali hili (ukipenda);
1. Kitu kipi kilikufanya uwe kwenye chama ulichokuwa nacho kabla hujajiunga kwingine?
2. Na ulipoamua kuunga mkono juhudi; kipi kilichobadilika ulipotoka na kule ulipoingia?