Elections 2010 Ujumbe kwa watanzania Wana CCM

That is the Fact. Ila kama Kiongozi mkuu wa serikali yuko katika hali hii? Unategemea nini?

attachment.php

Hapa uliishiwa point ukaamua ku-google.:becky:
 
samahani.eti kwani hapa ni kwa wapinzani peke yao???

tatizo lako tandale one kwenye hoja za msingi unaingia mitini kirahisi. Hata mtu akikubeep na hoja haumpigii. Kwa mfano nimekubeep mara nyingi unisaidie kupata maelezo kutoka kwa kinana kuhusu ni kwa vipi ccm inapokea invoice za bidhaa na huduma inazonunua hapa nchini kwa fedha za kigeni, kitu ambacho ni kinyume cha sheria?

Mara kwa mara benki kuu imekuwa ikitoa adhari kuwa matumizi ya fedha za kigeni kununua bidhaa na huduma hapa nchini husababisha kuwepo kwa mahataji makubwa ya fedha za kigeni yasiyo ya lazima na kupelekea fedha ya tanzania kushuka thamani na kupunguz auwezo wa watanzania hususan wafanyakzi na wakulima wa kununua bidhaa (purchasing power), na hivyo wengi wao kushindia mlo mmoja.

Viongozi wa ccm na serikali yake wanalifumbia macho suala hili kwa kuwa wanamiliki hisa nyingi katika biashara mbali mbali na miradi ya uwekezaji iliyoingia hapa nchini, hivyo wananufaika na wananchi kukamuliwa kutokana na fedha ya kitanzania kushuka thamani mara kwa mara, na kwa kuwa wao wanatumia dola za kimarekani hawahadhiriki na tatizo hilo

nikakuuliza kama mnashindwa kusimamia sheria hata kama finances zeni, mtaweza kusimamaia uchumi
?
 
Nafikiri hujanielewa.Labda nikuulize.Wewe ni mwanasheria?Well,one might be an expert in economics na akajua tatizo kubwa la fedha kushuka thamani kila wakati linatokana na nini.But that's not enough.Acting,or taking it to the public needs a constructive argument.Mimi nadhani tunahitaji active elites katika civil societies ambao wanaweza kufanya movement za ku-advocate mambo.Tatizo mimi linalonikera hapa ni ushabiki usio na msingi.Wewe kama si wizi ni nini?Kwa nini kama kweli tuna matatizo makubwa tusiwe na vyama vichache vya upinzani?Mwingine ameandika karatasi kwa marker pen anagombea urais!!!
 
madrassa al sul ndio madhara yake haya.
muulizeni kiarabu labda atwaelewa
 
tumeletewa fiber, sasa mawasiliano bwerere, na tuko njiani kwa mradi mkubwa ICT kwa elimu unaojulikana kwa Tanzania Beyond Tomorrow

nyie lieni tu

Sasa hiyo fibre na mradi mkubwa wa ICT ndio inafuta hayo maovu yote? Kwangu mimi, simchagui JK si kwa sababu hakuna mema ambayo hajatenda, ila simchagui kwa sababu ya yeye kukumbatia mafisadi na ufisadi, kutokuonyesha kimatendo umadhubuti wake wa kupinga ufisadi, kutokuwa makini na kauli zake (mfano kukataa kura za wafanyakazi), kutokuchukua hatua madhubuti kuhusu ufujaji wa mali ya umma na uzembe katika uongozi wa baadhi ya mashirika ya umma (mfano ATC, THA) hata baada ya kuwa na udhibitisho n.k.

Kwa kifupi, ni kama dini na kwenda ahera vile. Watu hawataenda ahera kwa kuwa tu wamefanya mazuri kuliko maovu ila hawataenda ahera kwa maovu waliyoyafanya na kuacha kuyatubia na kuyaacha. Ndivyo JK na kura yangu ya uraisi.
 
Time tells a lot
 
Maoni
 
Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom