Elections 2010 Ujumbe kwa watanzania Wana CCM

Ofcourse ni ujumbe mzuri
Ed+JK+Ambulance.jpg

Anayeweza kusibitisha ugonjwa wa mtu ni doctor pekeyake, na doctor tayari amebainisha kwamba mgombea wa ccm siyo mgonjwa, kama nyie mnavyotumia vipimo vyenu vya kuagua kwa mganga wa kienyeji. Mmeishiwa sera na mikakati ya kumnadi mgombea wenu wa CHADEMA, mmebaki kupiga majungu na fitina zisizokuwa na msingi
Mfa maji hakosi kutapatapa kama mnavyofanya sasa
 
Sasa kauli za ki- chauvinistic kama hivo eti ni 'chama dume', unashawishika kuona kwamba matatizo ya vibaraka na mashabiki wa CCM yanaanzia mbali sana.

Mbali sana kaka.Hata rebels huwa wana backgrounds zao.Si unakumbuka background ya Hitler na chuki yake dhidi ya wayahudi??Mambo yanaanza mbali hayadondoki toka mtini ghafla.Ni kama chuki ya mtu anayeweza kuamua kuanzisha thread ya kumchafua mwenzake hapa bila tija yoyote kwa umma.
 
Anayeweza kusibitisha ugonjwa wa mtu ni doctor pekeyake, na doctor tayari amebainisha kwamba mgombea wa ccm siyo mgonjwa, kama nyie mnavyotumia vipimo vyenu vya kuagua kwa mganga wa kienyeji. Mmeishiwa sera na mikakati ya kumnadi mgombea wenu wa CHADEMA, mmebaki kupiga majungu na fitina zisizokuwa na msingi
Mfa maji hakosi kutapatapa kama mnavyofanya sasa

Dk__Slaa.JPG

Hapo vipi??He got welll soon.
 
tandale one a.k.a MS Mpya rudi kwenu kwa Mtogole hujui ulitendalo.
 
Hata mimi nashangaa ukitoa hoja unasikia tumevamiwa jamani. Dissapoiting. Labda tuuite forum ya wapinzani. Sasa sisi tunaongalia issue unbiased sijui itakuwaje.

Vimeo wengi.Wabeba box wana taabu sana.Warudi Rufiji kutekeleza sera ya kilimo kwanza.
 
Sasa kauli za ki- chauvinistic kama hivo eti ni 'chama dume', unashawishika kuona kwamba matatizo ya vibaraka na mashabiki wa CCM yanaanzia mbali sana.

Asante sana kwa kuliona hilo. Nilidhani mi peke yangu nimeona.

Halafu eti wanawake wanamshangilia kwa vigelegele kabisa!
 
Kweli ni namba one for all the wrong reasons, EPA, RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, RADAR...to mention only a few.

tumeletewa fiber, sasa mawasiliano bwerere, na tuko njiani kwa mradi mkubwa ICT kwa elimu unaojulikana kwa Tanzania Beyond Tomorrow

nyie lieni tu
 
Wee unafikiri kila mtu humu ni mbeba box? Nyie sio wale wale wa tandale wabeba viroba?

Ndo hao hao.Real Tanzanians.Sio mnaojiita wasomi mkachakachua ilani ya chama flani mkaiita yenu.
 
Rudisheni kwanza fedha zote za umma alizopatiwa aliyekuwaMwweka hazina wa CCM taifa Marehemu Salome Mbatia na mafisadfi wa EPA. Tulidhani alipatwa na ajali ya kawaida kumbe mlimuua ili kuficha ushahidi.

Ule ugonjwa wa kusahau naona bado unao kaka.Vipi,wahi matibabu.Si mlisema kwamba lengo ilikuwa ni yule jamaa wa Sumbawanga???Doh!
 
Asante sana kwa kuliona hilo. Nilidhani mi peke yangu nimeona.

Halafu eti wanawake wanamshangilia kwa vigelegele kabisa!

Ni kweli usemayo. Hao wanawake wanaoshangilia ni wazi ni watumwa. Utumwa wao unaanzia kifikra mpaka kiuchumi. Hawawezi kuketi chini kuangalia jinsi ya kujinasua kwa maana CCM kwao ndio baba ndio mama. Utumwa wao unapelekea kuamini kwamba wanaishi kwa hisani ya CCM, badala ya kinyume chake!
 
Back
Top Bottom