Ujumbe kwa Wanawake wote wenye Roho Mbaya

Ujumbe kwa Wanawake wote wenye Roho Mbaya

Siwezi kupangiwa na mwanamke wala kunishawishi nisiwasaidie wazazi wangu.siku hiyo hiyo ataondoka kurudi makawao,mwenye mamlaka ya nyumba ni mwanaume,sasa anaanzaje kunipagia matumizi ,kwanza mwanamke hawezi kujua mshahara wangu hata alie kiasi gani
 
Hivi hua mnawapata wapi hao wanawake wanaowapangia hadi watu wa kuongea nao?

Yani mkeo anakuzuia kusaidia ndugu na bado unamuita mke?

Anyway, tunatofautiana!
 
😅😅😅😅 najua wewe ni mwanamke mzuri nakama kweli umeolewa njoo pm nikushauri jambo naona litakusaidia

Siwezi kuwa mzuri 100% na mimi pia nina mapungufu yangu lakini mambo mengine yanapitiliza.
 
Back
Top Bottom