Ujumbe kwa Wanawake wote wenye Roho Mbaya

Hahaah shemeji si kuoa tu na mtoto ninaye. Na nyumba nimeshamaliza. Kiufupi niko vizur.. sitaki misaada ya kaka, ila tangu akuoe hata salam za mwaka mpya hamna. Mwache apumue kidogo jmn
Hahahahaaaa ukiona kimya ujue tuko salama Shem tukipata shida tutakutafuta we tulia
 
Itakataje kabisa uache kumsaidia Mzazi wako aliyekuleta Duniani?
 
Duuu. Haya mwaya ahsante kwa ujumbe.

Japo kwa mbaali nawaza mwanamke anawezaje kuzuia hiyo kitu wakati Me simu ni yake na kama kutoa msaada pesa inakuwa ya kwake au hapa unasemea wale Me wanaowashirikisha wake zao kwa kila jambo?

Ukiona hivyo ujue mwanaume na yeye yamemfaa hayo sababu si mtoto mdogo huyo wa kusema hajui baya na zuri.

Tuwalaumu wanawake ila na wanaume pia walaumiwe kwa kushindwa kujua thamani ya ndugu zao mpaka wanakubaliana na hiyo kitu sababu hakuna anayeshikiwa fimbo kwamba akiwasiliana na ndugu zake atachapwa.[/

Kuna Wanawake wana Roho mbaya
Duuu. Haya mwaya ahsante kwa ujumbe.

Japo kwa mbaali nawaza mwanamke anawezaje kuzuia hiyo kitu wakati Me simu ni yake na kama kutoa msaada pesa inakuwa ya kwake au hapa unasemea wale Me wanaowashirikisha wake zao kwa kila jambo?

Ukiona hivyo ujue mwanaume na yeye yamemfaa hayo sababu si mtoto mdogo huyo wa kusema hajui baya na zuri.

Tuwalaumu wanawake ila na wanaume pia walaumiwe kwa kushindwa kujua thamani ya ndugu zao mpaka wanakubaliana na hiyo kitu sababu hakuna anayeshikiwa fimbo kwamba akiwasiliana na ndugu zake atachapwa.

Ni kitu ambacho kinawezekana kabisa, Mwanamke kakuta message ya Wifi yake kwenye simu ya Mume wake akaanzisha ugomvi mara kachukua Kisu anataka kumchoma nacho Mume wake.
 
Ndio maana nikasema huyo mwanaume ana shida na ndio chanzo cha mke kuwa na shida pia. Sababu kiuhalisia msg ya wifi tu ndio mshikiane hadi kisu hayo si maajabu.

Ilikuwa inasemaje kwani hiyo msg hadi likazuka seke seke hivyo. Nipage huo ubuyu mwaya😂😂😂😂😂

👂👂👂👂
 
Duuu. Haya mwaya ahsante kwa ujumbe.

Japo kwa mbaali nawaza mwanamke anawezaje kuzuia hiyo kitu wakati Me simu ni yake na kama kutoa msaada pesa inakuwa ya kwake au hapa unasemea wale Me wanaowashirikisha wake zao kwa kila jambo?

Ukiona hivyo ujue mwanaume na yeye yamemfaa hayo sababu si mtoto mdogo huyo wa kusema hajui baya na zuri.

Tuwalaumu wanawake ila na wanaume pia walaumiwe kwa kushindwa kujua thamani ya ndugu zao mpaka wanakubaliana na hiyo kitu sababu hakuna anayeshikiwa fimbo kwamba akiwasiliana na ndugu zake atachapwa.
Umenena vema Hajar...binadamu tumegawanyika kwenye makundi mengi.
Hongera kwa kuliona hilo...!
 
Ndio hapo sasa Mkuu yaani huo Uzwazwa wa hali ya juu. Pia tunakuwa na mashaka na uanaume wake.

Mie nionavyo hiyo ni tabia tu ya mtu kutokupenda kusaidia ndugu zake ila Mke anakuwa kisingizio tu.
Dunia ni kubwa Hajar,tusikanushe moja kwa moja. Kama T-town hawapo, watakuwepo A-town au M-town n.k.
 
Mwanamke umekutana na Mwanaume mmependana mkaamua kuishi pamoja Mume na Mke, leo hii Mwanamke hutaki Mumeo awasiliane na Ndugu zake wala kuwasaidia kwa chochote, Mwanaume huyo umekutana nae akiwa na Meno 32 mdomoni mwake unajua gharama walizotumia Wazazi wake na Ndugu zake hadi kufikia yeye kuja kukuoa wewe?

Wanawake tubadilike tuache Roho mbaya.
Story of my life mama yangu alikuwa mkarimu sana aliwatunza wazee upande wa baba yangu mpaka wenzake wanamtania wanaita clinicki ya wazee .
Alikubali watoto wandugj za baba waje wasomeshwe pale na kila shida wanazileta pale.
Mama alikuwa mcha Mungu na alimtumikia Mungu kwa moyo mmoja akipata chochote anawagawia ndugu za baba yangu.
Shukurani ikaja kutolewa na ni hii hapa.
Ndugu zake baba walimpiga mama yangu wakamvunja kila kiungo baada ya wao kujiweza kimapato wakaakikisha wamevuruga haswa wakakata kata kaka zangu kwa mapanga .
Na kuvunja kila kilichopo ndani nakupiga baba yangu hadi umauti waka ulipomkuta muhimbili kwa maumivu makali na nimzee tayari.
Wengine walikuwa wanakuja kudai fedha tulizowakopa kwa malipo ya shule nawanatoa onyo kali kama hatutolipa nawakatuwekea majambazi kwenye msiba ili tusibakie hata mmoja.
Kwa hiyo usije ukasema wanawake waache roho mbaya mimi wazazi wangu wasingekuwa naroho mzuri sidhani kama umauti au chochote ungekuta wazazi wangu.
Kwa hiyo kama kuna mtu anataka kuwa na roho mbaya kama nini ni bora kuliko kuwa na moyo wakusaidia.
Sasa napenda kuwaambia hivi ni bora uitweunaroho mbaya kuliko roho mzuri.
Roho njema huita msiba nyumbani kwako.
Mimi sinaroho nzuri na mbaya nasitaweza hata sikumoja kusaidia ndugu wa mume wangu hata iweje nitakaowasaidia tu niwazazi wake.
Eti unajua walivyowasaidia wakafika hapo anameno 32 .
Ni wazazi tu ndio waliohangaika akafikia hapo nothing else .
Utaishia kubaya dada kwakujishaua.
Mpaka utakumbuka hii story of my life.
Acha unafiki uende mbinguni.
 
Kila siku mnawasiliana nini kwanza???? Mtu anafamilia yake muhimu atawajulia hali kipindi fulani kila wiki na kuungana na matukio muhimu tu.
 
Mi siko hapa kiunafiki niko hapa kuelezea ukweli wa mambo.
 
Kila siku mnawasiliana nini kwanza???? Mtu anafamilia yake muhimu atawajulia hali kipindi fulani kila wiki na kuungana na matukio muhimu tu.

Kuwasiliana ni muhimu haijalishi ni mara ngapi ili mradi mawasiliano hayaingilii Ndoa yao.
 
Mawifi wengine pasua kichwa hasa wale ambo hawajaolewa wanataka kila kitu wasaidiwe na kaka zao mpaka kusomeshewa watoto waliozazaa ovyo, ww kama mke lazima ukureke maana mtashidwa kufanya nyenu mtaishia kusaidia ndungu hapo ndiyo viungovi vinatokea.Kwa upande wa wazazi hakuna shida wasaidiwe mpaka mwisho.
 
Yani mwanaume unakatazwa vipi kuwasiliana na ndugu zako?? Utakua uzwazwa huo

Kuna wanaume ni wapole kupita kiasi ndivyo walivyoumbwa, Mwanamke kashagundua kuwa Mwanaume ni mpole basi imekuwa shida anataka kumtawala Mwanaume.
 
Back
Top Bottom