Ujumbe kwa Wanawake wote wenye Roho Mbaya

Mawifi wengine pasua kichwa hasa wale ambo hawajaolewa wanataka kila kitu wasaidiwe na kaka zao mpaka kusomeshewa watoto waliozazaa ovyo, ww kama mke lazima ukureke maana mtashidwa kufanya nyenu mtaishia kusaidia ndungu hapo ndiyo viungovi vinatokea.Kwa upande wa wazazi hakuna shida wasaidiwe mpaka mwisho.

Issue hii haingiliani na mawifi wanaotegemea msaada kutoka kwa Kaka, mawifi wenyewe wako vizuri tu kifedha hawana shida ila ukweli ni kwamba Mwanamke mwenye akili timamu hawezi kumpanda kichwa Mwanaume eti yeye hatambui wazazi wala ndugu zake yeye anamtambua mume wake mwenyewe, haingii akilini tuache Roho mbaya duniani tu wasafiri tu kila kitu tutakiacha hapa duniani.
 
Mawifi wengine pasua kichwa hasa wale ambo hawajaolewa wanataka kila kitu wasaidiwe na kaka zao mpaka kusomeshewa watoto waliozazaa ovyo, ww kama mke lazima ukureke maana mtashidwa kufanya nyenu mtaishia kusaidia ndungu hapo ndiyo viungovi vinatokea.Kwa upande wa wazazi hakuna shida wasaidiwe mpaka mwisho.

Mwanamke mwenzetu hataki kusikia kabisa Mume anasaidia Wazazi wake.
 
Unajua viherehere wapo nawewe ni mmoja wapo haya mama kazi njema katika kujenga maisha ya watu.
 
Kuna limoja hilo limeeolewa Kwetu.... Hakukuta familia ni tegemezi kila mtu anajiweza kivyake.... Ila lina roho mbaya hilo Jamani.... Kwanza kahakikisha ndugu yetu hana uhusiano na wenzake wote.... Wanaishi kivyao...... Wenyewe wapo nje ya mkoa waliko zaliwa huko huyo ndugu yetu ana wadogo zake wa2 sio kwamba ni tegememezi lkn hana mahusiano nao.... Kila mtu kivyake...... Ngoja tuone kama hela zinaweza kuwa kila kitu.
Ni mwanamke mwenye roho ya kimaskini pekee ambaye ataona kama ndugu wa mumewe wakiwa na maelewano naye watakuja kumfilisi mumewe ilihali jamaa anajiweza! Yupo Bi Mkubwa mmoja kwenye ukoo ameolewa na dingi mkubwa ana tabia hizo, kafukuza ndugu wa upande wetu wote hata ambao walienda kusaidiwa maisha kwa kuwekwa kwenye kusimamia miradi kawavuruga wote sasahivi kaweka ndugu wa upande wake yeye! Yani hataki kabisa ndugu wa mume wasogelee kwa mumewe iwe kwa ubraza au udingi, ana choyo sijapata kuona!

Kuna walioenda kusomeshwa pia kawavuruga vibaya yani hamna mwenye hamu ya kwenda kwa Mshua kabisa hadi anashangaa anawakoseaga nini ndugu mbona wakiondoka hawakumbukagi kurudi hata kusalimia! Cha ajabu ndugu wote walionyanyasika na bi mkubwa maisha yako mstari sahivi tunakutanaga kwenye sherehe na misiba tu anabaki anaona aibu aibu!

Sasahivi ni Bi mkubwa umri umeshaenda tayari wana mali kibao Nyumba iko Rennovated kisasa full magarden, Magari yamejaa uani about 6 Cars yeye ni kubadilisha tu akitaka SUV ama SEDAN yeye tu ila anaonekana hana amani wala furaha, kuna roho flani inamsuta kwa ubaya aliofanyia watu waliopitia kwa mshua kimaisha, Mfano mimi kila nikikutana nae huwa anatokwa na machozi sijui kwanini! But life goes on, nimesoma freshi na maisha ni mazuri!
 
Kuna wanaume ni wapole kupita kiasi ndivyo walivyoumbwa, Mwanamke kashagundua kuwa Mwanaume ni mpole basi imekuwa shida anataka kumtawala Mwanaume.
Na hili ndio linafanya siwezi laumu wanaume wenzangu hata ndugu ambaye katawaliwa na mke, kuna wanawake wana asili ya ku control mtu hasa ukimpenda atataka kila kitu yeye ndio awe mratibu,dawa yao unaskiliza anachosema kimya kimya unaenda kufanya unaloona wewe ni sawa! Nishakuwa na GF wa namna hio kiukweli aliniathiri nikashindwa fikia ndoto zangu fulani! Aliniburuza kweli kweli ila mwisho wa siku nikaona naishi maisha kwa niaba yake nikamtema!
 
Ni mwanamke mwenye roho ya kimaskini pekee ambaye ataona kama ndugu wa mumewe wakiwa na maelewano naye watakuja kumfilisi mumewe ilihali jamaa anajiweza! Yupo Bi Mkubwa mmoja kwenye ukoo ameolewa na dingi mkubwa ana tabia hizo, kafukuza ndugu wa upande wetu wote hata ambao walienda kusaidiwa maisha kwa kuwekwa kwenye kusimamia miradi kawavuruga wote sasahivi kaweka ndugu wa upande wake yeye! Yani hataki kabisa ndugu wa mume wasogelee kwa mumewe iwe kwa ubraza au udingi, ana choyo sijapata kuona!

Kuna walioenda kusomeshwa pia kawavuruga vibaya yani hamna mwenye hamu ya kwenda kwa Mshua kabisa hadi anashangaa anawakoseaga nini ndugu mbona wakiondoka hawakumbukagi kurudi hata kusalimia! Cha ajabu ndugu wote walionyanyasika na bi mkubwa maisha yako mstari sahivi tunakutanaga kwenye sherehe na misiba tu anabaki anaona aibu aibu!

Sasahivi ni Bi mkubwa umri umeshaenda tayari wana mali kibao Nyumba iko Rennovated kisasa full magarden, Magari yamejaa uani about 6 Cars yeye ni kubadilisha tu akitaka SUV ama SEDAN yeye tu ila anaonekana hana amani wala furaha, kuna roho flani inamsuta kwa ubaya aliofanyia watu waliopitia kwa mshua kimaisha, Mfano mimi kila nikikutana nae huwa anatokwa na machozi sijui kwanini! But life goes on, nimesoma freshi na maisha ni mazuri!

Bora umesema ukweli, kwenye ukweli tuseme ukweli tuache unafiki, Mwanamke unaolewa kwenye familiya ya watu unaenda kuwa Kivuruge kwa Roho mbaya halafu unaishia kusema Mama Mkwe na ma Wifi ni wabaya.
 
Na hili ndio linafanya siwezi laumu wanaume wenzangu hata ndugu ambaye katawaliwa na mke, kuna wanawake wana asili ya ku control mtu hasa ukimpenda atataka kila kitu yeye ndio awe mratibu,dawa yao unaskiliza anachosema kimya kimya unaenda kufanya unaloona wewe ni sawa! Nishakuwa na GF wa namna hio kiukweli aliniathiri nikashindwa fikia ndoto zangu fulani! Aliniburuza kweli kweli ila mwisho wa siku nikaona naishi maisha kwa niaba yake nikamtema!

Huo ndio ukweli wa mambo.
 
Back
Top Bottom