Si ndo mnavyojidanya wakati ukweli mchungu mnaujua na hamtaki kuukubali basi endeleeni hivyo hivyoNdio tulivyoumbwa na sio kuwa tunashindana na hiyo sehemu.
Ndio maana nimesema mwalimu wa mwanaume ni sehemu zake za siri tu na sio mwanamke mwenye hiyo kitu.
Hatushindani Napo but ni kitamu so that's why we always want to hit it.Ila wanaume mnapenda kushindana na mlikotoka jamani na bado hamjawahi kupashinda siku mkipashinda mtushitue wanawake basi
Ndugu yangu hata wewe nawe unaongea? Siyo wewe uliyesema all men are polygamous naturally?I have never cheated and I won't cheat when I get my happiness, my sweetness since I don't want to break her heart. What I will do is to make her looks gorgeous day after day.
Sasa basi kama ambavyo umetokea kwenye nanii ya mtu mmoja ndivyo ambavyo unatakiwa uingie kwenye nanii ya mtu mmoja piaSio kushindana,tunataka kurudi nyumbani.SWEET HOME.
Sasa si ukitafute kitamu cha mmoja tu utulie nacho? KhaaHatushindani Napo but ni kitamu so that's why we always want to hit it.
You missed the point.Ndugu yangu hata wewe nawe unaongea? Siyo wewe uliyesema all men are polygamous naturally?
Ukiletewa maradhi?Adabu iwepo wachepuke tu mpaka mwisho,mpaka wakaukiwe damu
Hasara kwa nani unadhani? Si kwao
hivi unajua kuna wanaume wanachepuka ili kulinda ndoa zao kwa kuwapunguzia wake zao kazi imagine mwanaume ambaye kila cku anataka kuduu wakati mke wake hana hamu kabisa kwahyo hata mara 1 kwa mwezi mke anaona ni kero!Ndiyo mtu anayechepuka naye ni wa kumheshimu sasa?
I know that polygamy is an act of a man marrying more than one wife but you know women do not like either of that yaani hatupendi kuongezewa wake wala kusalitiwa so usije sema kuchepuka hakufai ila kuoa wake wengi ndo kunafaa hell noYou missed the point.
Cheating & Polygamy ni vitu viwili tofauti..... Edelyn.
ha ha ha ha ha nimecheka sana,mumeo atapata tabu kweli kweli.Kwahiyo unataka mama ahangaike na watoto na bado ahangaike na wewe tena kwani wewe hao watoto hauna muda nao?
Ni kweli itapunguza kwa asilimia kubwa,me ambaye ni mkamilifu kwa siku anaweza akaitaji zaidi ya mara moja lakini kwa ke haweziKwahiyo unataka kusema kwamba mkeo akiwa anakupa wakati wowote unaotaka hautachepuka?
Tatizo wanaume wa siku hizi mnaoa kwa tamaa hamuoi kwa mapenzi tena hivi wewe binadamu gani unataka ufanye kila siku eti kisa umeoa? Kwani ndoa ni kufanya tu? Aisee kwenye swala la ngono kweli shetani amefankiwa kuiteka duniahivi unajua kuna wanaume wanachepuka ili kulinda ndoa zao kwa kuwapunguzia wake zao kazi imagine mwanaume ambaye kila cku anataka kuduu wakati mke wake hana hamu kabisa kwahyo hata mara 1 kwa mwezi mke anaona ni kero!
Kwanini apate taabu? Seriously yaani wanaume mnataka kujifananisha na watoto jamani hebu kuweni na huruma mama ahangaike na watoto let's say wawili au zaidi bado tena ahangaike na wewe mtu mzima unayeweza kujifanyia kila kitu mwenyewe? Kuna vitu lazima wanaume mkubaliane navyo tu kwenye ndoa na kuacha vipite siyo lazima kila pungufu la mkeo ulitafutie sababu ya kuchepukaha ha ha ha ha nimecheka sana,mumeo atapata tabu kweli kweli.
Hahahahahah.I know that polygamy is an act of a man marrying more than one wife but you know women do not like either of that yaani hatupendi kuongezewa wake wala kusalitiwa so usije sema kuchepuka hakufai ila kuoa wake wengi ndo kunafaa hell no
Hapana huo siyo ukamilifu bali ni udhaifu unajua wanaume hamuelewi hiki kitu kimoja nyie udhaifu wenu ni ngono kwahiyo yule mwanaume mwenye uwezo wa kuizuia tamaa ya ngono huyo ndiyo mkamilifu maana ameweza kukishinda kile kitu ambacho ni udhaifu wenu ila yule ambaye akijihisi hamu tu basi anataka na ni lazima afanye huyo ni dhaifuNi kweli itapunguza kwa asilimia kubwa,me ambaye ni mkamilifu kwa siku anaweza akaitaji zaidi ya mara moja lakini kwa ke hawezi