Mkuu sijakupa andiko hilo tu nimekupa hadi hilo linalosema aziniye na mwanamke hana akili hilo nalo linamlenga mwanamke peke yake eti? Hahahaha yaani maandiko yanayomkataza mwanamke kuzini ndo sahihi ila yanayomkataza mwanaume kuzini ni ya kihuni?Mkuu hebu pitia hilo andiko hapo, nikipata muda nitakuwekea mengine. Nimekuambia Biblia iliandikwa kwa kuwakandamiza wanawake. Hapo inasema,mwanamke ukiolewa hadi huyo mwanaume afe ndo utaruhusiwa kuolewa. Lkn ukifanya hata km umeachana na huyo mwanaume utakuwa unazini. Lkn haijasema kuhusu huyo mwanaume. Halafu kuhusu Amri inayoitwa ya 9 na kanisa katoliki imeandikwa kihuni tu ile imeelezwa kwa kirefu na ndo amri ya 10 nakuwekea hapa pia. Ile Amri inakataza kutamani kitu chochote cha jirani yako akiwemo mke wa jirani yako,isome hapo utaona!!View attachment 1120117View attachment 1120130
Duuh yaani hadi wewe mwanaume unayetumia neno 'uwiiiiii' unasema mwanamke mmoja hakutoshi? Halafu hii siyo post yako ya kwanza kuona umetumia hili neno ila mwanzo nilidhani umeliweka bahati mbaya tu ila kumbe ni makusudi kabisa basi nimeamini kweli wanaume kuchepuka mnajiendekeza tuDaaaah....umesema ukweli...ila walahi mke mmoja hatoshi......yaan uwiiiiii.....hatoshi tena narudia
Basi huyo alikuwa hampendi mkeweHuku nilipo kuna mmama mmoja kafanya hivyo
kiufupi mchepuko ndo umekuwa mother house.
Mambo haya yanataka hekima, ukijua mmeo anachepukaBasi huyo alikuwa hampendi mkewe
Kuna wanaume ambao wanapata kila kitu kutoka kwa wake zao ila wanachepuka ili tu kubadilisha ladha sasa hapo napo mke ajichunguze kitu gani? Wanaume kubalini tu kwamba mnafanya makusudi kuchepuka ila mnatumia mapungufu ya wake zenu kama ndo sababu za kuhalalisha huo umalayaMambo haya yanataka hekima, ukijua mmeo anachepuka
dawa siyo kususa ni kusimama kidete kuidhibiti hiyo hali
siyo kuzira,ukifanya hivyo unawapa nafasi wakati wewe ndo
mwenye mali.Mmeo akichepuka cha kwanza jihoji binafsi ni kwa nini then chukua hatua.
Hahahahahaaaa,siku hizi MTU akishindwa kukushinda kwa hoja atatafuta udhaifu mdogo wakipuuzi ilimradi tu aonekane bora kuliko wewe....in fact,one woman is not enough for me,whether u like or dislike it.....find another shit to squirt....Duuh yaani hadi wewe mwanaume unayetumia neno 'uwiiiiii' unasema mwanamke mmoja hakutoshi? Halafu hii siyo post yako ya kwanza kuona umetumia hili neno ila mwanzo nilidhani umeliweka bahati mbaya tu ila kumbe ni makusudi kabisa basi nimeamini kweli wanaume kuchepuka mnajiendekeza tu
Ni vigumu kupingana na uumbajiHapana huo siyo ukamilifu bali ni udhaifu unajua wanaume hamuelewi hiki kitu kimoja nyie udhaifu wenu ni ngono kwahiyo yule mwanaume mwenye uwezo wa kuizuia tamaa ya ngono huyo ndiyo mkamilifu maana ameweza kukishinda kile kitu ambacho ni udhaifu wenu ila yule ambaye akijihisi hamu tu basi anataka na ni lazima afanye huyo ni dhaifu
Maana amekiembrace kitu ambacho ni udhaifu kwenu na ameprove kwamba kweli ngono ni udhaifu wenu sasa nyie mnajidanganya eti mwanaume mkamilifu ndo anayefanya kila saa na asiyefanya kila saa ndo mkamilifu hapana tunajua kila mwanaume anataka na kumbuka hata majaribu anayeyashinda ndo anaonekana mkamilifu na anayeyashindwa anaonekana ni mdhaifu so men you need to change that mindset
Mimi au nyie wenyewe wanaume mnaodhani kila kitu ni umama? Hayo ya kusema kwamba kuna kauli fulani mwanaume haimpendezi kuzitumia mmeanzisha wenyewe wengine tunaendeleza tu by the way kama mwanamke mmoja hakutoshi who cares?Hahahahahaaaa,siku hizi MTU akishindwa kukushinda kwa hoja atatafuta udhaifu mdogo wakipuuzi ilimradi tu aonekane bora kuliko wewe....in fact,one woman is not enough for me,whether u like or dislike it.....find another shit to squirt....
Uumbaji upi? Kwani uumbaji si unaonyesha kwamba binadamu wa kwanza walikuwa ni mwanaume mmoja na mwanamke mmoja au?Ni vigumu kupingana na uumbaji
ngoja uolewe, halafu upate uzoefu ndo maada itakua nzuri sasa hivi unaongea nadharia tuHabari MMU
Naomba niwape ujumbe nilioutafakari kwa kipindi kirefu,mimi sijaolewa kwa maana hio sijui ndoa ila ntawashauri wanaume mliooa wenye ndoa zenu.
Wanaume mna hii mentality kuwa huwezi kukaa na mwanamke mmoja, lazima uchepuke !
Umeanza kuchepuka mtoto wa watu anakupenda anaamini utatulia anakufanyia kila kitu chako kama kakuzaa,anakuzalia na watoto anawalea kama unamlipa. Wewe kazi yako kubwa ulioiona ni kujilisha upepo wa kucheat!
Haya basi mtoto watu kakaa kaona isiwe tabu mme wangu labda ndo nature yenu kucheat "my hubby Cheat in peace" basi unajiona ndo umeshinda kombe unabadili wadada kila siku dharau nyumbani.
Ngoja niwaambie kitu wanaume ,mwanamke akishakuacha u cheat in peace kwanza kashakuona wewe ni mpumbavu. Hata kama una miaka 50 wewe utabaki kuwa mpumbavu mbele yake!usijidanganye "mwanamke wangu ata hanifatilii yanii nna raha kweli"
Mynigga hakufatilii kwasababu hawezi kuhangaisha akili yake kwa ajili ya "mpumbavu"
Na wewe kuacha hawara zako wampande mkeo kichwani ni Upumbavu XXL.
Haicost kitu kuambia mpango wa kando nna mke mapenzi yetu yawe na mipaka, usinipigie masimu ovyo ovyo usinitumie masms huwezi kushindana na mtu anaenilea kwa kila kitu!
Ukiona unachepuka na mwanamke anaeshindwa kuyaelewa hayo muache tu mbona wamejaa sana ambao watakubaliana na term zako ili mjilishe upepo vizuri.
Lingine my nigga's wanawake wa sikuizi wanaroga,mtarogwa msahau future zenu na wake zenu/watoto/familia zenu!
Wewe chekelea kujilisha upepo na akina mwajuma wa buza kumbe unarogwa na wewe unachekelea.
Hakuna mwanamke kama mke wako,wewe jilishe upepo weeeh kwa mama fulani utarudi siku moja,jifunzeni kutofautisha kati ya An empress na concubine,Weka mpaka kati ya Hawara na Mke wa ndoa.
NB: Hii ni kwa wanaume waliooa wanawake wanaojielewa,wanaotimiza wajibu wote.
Wanawake mlioolewa na tabia zenu mbofu mbofu sina la kuwatetea.
ha ha ha ha umenishinda kwa hojaUumbaji upi? Kwani uumbaji si unaonyesha kwamba binadamu wa kwanza walikuwa ni mwanaume mmoja na mwanamke mmoja au?
Na Mungu si alisema mwanamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja nasisitiza mkewe siyo wakeze na kumbuka ubavu wa Adam ulitumika kumuumba mwanamke mmoja tu na siyo zaidi kwahiyo wewe ubavu wako ni mwanamke mmoja tu
Yaani kwa kifupi ukishakuwa na mke mmoja huyo ndo anayehesabika hao wengine utakaowaongeza unajidanganya wewe na unawadanganya wao kwahiyo ni kama unazini nao tu hakuna cha baadhi ya dini kuruhusu wala sijui wanaume mmeumbwa na tamaa hamtosheki na mwanamke mmoja
Na usiwatolee mifano hao mitume na manabii wa zamani waliokuwa na wake wengi hao nao hiyo waliyoifanya ilikuwa ni dhambi na ndo maana walipozeeka walitubu wakasamehewa ila siyo wanaume wa siku hizi badala ya kukubali kuwa hilo ni kosa bado mnatafuta sababu za kuhalalisha halafu mnasema Mungu ndo karuhusu sijui uumbaji ndo umeruhusu uumbaji upi huo?
ha ha ha ha umenishinda kwa hoja
ha ha ha haMimi nawashangaa mnavyotafuta visingizio wakati maandiko yako wazi kabisa na hizo dini nyingine sijui zinamuabudu mungu yupi aliyewaruhusu kuoa wake wengi shauri yenu
Mkuu uzinzi unaosemwa hapo juu ya mwanaume ni ule wa kutoka na mke wa mtu. Lkn Biblia haijatuzuia sisi hata kama tumeoa kujihusisha na mchepuko ambaye siyo mke wa mtu. Biblia imemzuia mwanamke kujihusisha na mwanaume mwingine akiolewa bila kujali atakayejihusisha naye ameoa au hajaoa! Mwanamke akiolewa anakuwa amefungwa na sheria hadi mumewe afe. Lkn mwanaume anakatazwa tu kujihusisha na mke wa mtu. Lkn kwa mfano mimi nikikulana na wewe ambaye huna mume hiyo inaruhusiwa.Mkuu sijakupa andiko hilo tu nimekupa hadi hilo linalosema aziniye na mwanamke hana akili hilo nalo linamlenga mwanamke peke yake eti? Hahahaha yaani maandiko yanayomkataza mwanamke kuzini ndo sahihi ila yanayomkataza mwanaume kuzini ni ya kihuni?
Aisee kwenye biblia wanaume hmachomoki kwa sababu bado sijaona wala kusikia andiko linalomruhusu narudia tena linalomruhusu mwanaume kuzini wala kuoa mke zaidi ya mmoja bishana na maandiko siyo mimi tena
Dada nimefatilia comments zako umejitahidi kuwaelewesha hao viumbe wachepukaji ila nasikitika hawatakuelewa ndoa kwao ni fashion waonekane wameoa.Uumbaji upi? Kwani uumbaji si unaonyesha kwamba binadamu wa kwanza walikuwa ni mwanaume mmoja na mwanamke mmoja au?
Na Mungu si alisema mwanamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja nasisitiza mkewe siyo wakeze na kumbuka ubavu wa Adam ulitumika kumuumba mwanamke mmoja tu na siyo zaidi kwahiyo wewe ubavu wako ni mwanamke mmoja tu
Yaani kwa kifupi ukishakuwa na mke mmoja huyo ndo anayehesabika hao wengine utakaowaongeza unajidanganya wewe na unawadanganya wao kwahiyo ni kama unazini nao tu hakuna cha baadhi ya dini kuruhusu wala sijui wanaume mmeumbwa na tamaa hamtosheki na mwanamke mmoja
Na usiwatolee mifano hao mitume na manabii wa zamani waliokuwa na wake wengi hao nao hiyo waliyoifanya ilikuwa ni dhambi na ndo maana walipozeeka walitubu wakasamehewa ila siyo wanaume wa siku hizi badala ya kukubali kuwa hilo ni kosa bado mnatafuta sababu za kuhalalisha halafu mnasema Mungu ndo karuhusu sijui uumbaji ndo umeruhusu uumbaji upi huo?
Hahahaha duuh waalimu wana kazi aisee mkuu hebu rudia hii sentensi "aziniye na mwanamke hana akili" hivi ambaye hajaolewa siyo mwanamke? Hapo maana yake ukishaoa hautakiwi kutoka nje ya ndoaMkuu uzinzi unaosemwa hapo juu ya mwanaume ni ule wa kutoka na mke wa mtu. Lkn Biblia haijatuzuia sisi hata kama tumeoa kujihusisha na mchepuko ambaye siyo mke wa mtu. Biblia imemzuia mwanamke kujihusisha na mwanaume mwingine akiolewa bila kujali atakayejihusisha naye ameoa au hajaoa! Mwanamke akiolewa anakuwa amefungwa na sheria hadi mumewe afe. Lkn mwanaume anakatazwa tu kujihusisha na mke wa mtu. Lkn kwa mfano mimi nikikulana na wewe ambaye huna mume hiyo inaruhusiwa.
Yaani acha tu najua kabisa kwamba hawawezi kunielewa wala hawawezi kuacha ila nataka wajue kuwa wanapochepuka ni juu yao wenyewe hakuna maandiko yanayoruhusu maana wanajitetea eti maandiko yamewaruhusu sasa ndo nimewaambia wanionyeshe maandiko yaliyoruhusu wanambwelambwela tuDada nimefatilia comments zako umejitahidi kuwaelewesha hao viumbe wachepukaji ila nasikitika hawatakuelewa ndoa kwao ni fashion waonekane wameoa.
Duh!! "Haya" tena?? Unadhani yanaelewaga?? Bibie umeolewa??Haya unadhani yanaelewaga kwani
Hahahahaahahahahah!Ushauri mzuri;kwa tunaojielewa huwa tunaakikisha 3/4 ya mapato ni kwa bi mkubwa pamoja na maendeleo,na 1/4 ni kwa michepuko na starehe,na mchepuko ili ufaidi matunda yangu lazima nimjaze tumbo (wako wawili tu);kuhusu kulogwa,nilishawaambia watu wangu wa karibu pamoja na bi mkubwa,kama nitakuwa tofauti kimaamuzi,inabidi waingie kazini.
Hivi wewe unaamini kwenye mitala sincerely??Mimi nafikiri hii inatokana na ile nature ya mwanamme aloumbwa nayo.
Mitara.
Kupambana na nature ni kazi,ila mabadiliko ya kimazingira,kibaiolojia na kiuchumi yanasaidia baadhi kubadilika.
Zamani hakukuwa na mayai ya kisasa.