Ujumbe kwa wanaume wote wanaolalamika

Ujumbe kwa wanaume wote wanaolalamika

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out, hela za barbershop, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena.

Sasa wewe mwenzangu kujali unadhani ni kujiunga extreme na kuanza kummiminia mimeseji kuanzia asubuhi hadi usiku, mara bebi umekunywa chai? umevaa nini? bebi umeshakula lunch? baby umelala? baby mbona kimya? wenzio wanatuma hela Mpesa au Tigo pesa then message inafuata ''baby nenda kale''.

Kwa style hii ukiachwa kuwa mpole.
 
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha
anasimamia show muhimu kama kumtoa
out, hela za barbershop,
mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na
mambo kibwena... sasa wewe mwenzangu kujali
unadhani ni kujiunga extreme na kuanza
kummiminia mimeseji kuanzia asubuhi had ucku,
mara bebi umekunywa chai? umevaa nini? bebi
umeshakula lunch? beb umelala?, beb mbona
kimya?
wenzio wanatuma hela mpesa au Tigo pesa then
msg inafuata ''beby nenda kale'', kwa style hii
ukiachwa kuwa
mpole.

Hayo siyo mapenzi yanaitwa kuchunana!
 
haa haa mtu anameseji 500 sasa azifanyie nini....
 
Kabla ya kuendelea na comments, wewe mleta mada ni me au ke?
 
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha
anasimamia show muhimu kama kumtoa
out, hela za barbershop,
mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na
mambo kibwena... sasa wewe mwenzangu kujali
unadhani ni kujiunga extreme na kuanza
kummiminia mimeseji kuanzia asubuhi had ucku,
mara bebi umekunywa chai? umevaa nini? bebi
umeshakula lunch? beb umelala?, beb mbona
kimya?
wenzio wanatuma hela mpesa au Tigo pesa then
msg inafuata ''beby nenda kale'', kwa style hii
ukiachwa kuwa
mpole.

Mnapotaka mambo km haya nanyie muwe mnyaweza basi kwenye GAME sio mnageuza wanaume ATM lkn kwenye 6 x6 mnajitegesha tu,,,!
 
Unalipwa kutokana na Perfomance yako,,,,!! sio mdai msichostahili,,,,!
 
tobaa hicho kizazi cha wahongaji kinatoka wapi....
watu maneno tu waakula mzigo wanasepa
 
Jamani kwa mtindo huo si tutawaua hao wanaume au hela zao hazinaga kazi eeeh?

Hivi unadhani machanguduo huwa wanajua thamani ya hela ya mwanaume?

Wao zao ni kutumbua tu, na mwanaume akiishiwa wanahamia kwa mwingine...

Ni kama kipepeo vile asivyoweza kutulia kwenye ua moja, akishafyonza kila ua na pindi amalizapo ule utomvu wenye sukari hupepea zake...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ndio maana hamuolewi kwa kuzoea kugongesha kwa hela.afu mambo ya hela hela muombe babako au mamako ndo walikujengea mazingira tegemezi ktk mapenz kiuhalisia mwanaume ndo angestahl kupewa hela kwa kaz anayoifanya.
 
Kabisa Mkuu.

Hivi unadhani machanguduo huwa wanajua thamani ya hela ya mwanaume?

Wao zao ni kutumbua tu, na mwanaume akiishiwa wanahamia kwa mwingine...

Ni kama kipepeo vile asivyoweza kutulia kwenye ua moja, akishafyonza kila ua na pindi amalizapo ule utomvu wenye sukari hupepea zake...
 
Vijana wa leo kazi sana. Wadada wamewazidi maarifa mara 100. Natabiri majanga kwa wanaume wa kesho.
 
ninachokiona hapa ni wewe mleta mada:
kama ni "ke" umefurahishwa na bwana wako anakuhonga kila kitu unachotaka na wewe kwa upendo huo unampa chochote anachotaka jiandae kwa haya:
1.kuombwa 0713
2.kuletewa umeme!!

kama ni "me"
umechunwa hela nyingi tena nyingi na unaona kero sasa ila unashindwa
kumwambia kuwa unanifanya sipendezi!!!!
hali inazidi kuwa mbaya kwako sasa unataka kupima upepo kama kuna wenzio wanafanyiwa kama wewe!!!!!
in short umeangukia kwenye kona ya kitanda!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom