stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Kabla ya kuendelea na comments, wewe mleta mada ni me au ke?
Aah bwana jinsia iko wazi hapo!
Kabla ya kuendelea na comments, wewe mleta mada ni me au ke?
haa haa mtu anameseji 500 sasa azifanyie nini....
Afu mie sipendi mameseji yasokuwa na maana ooh umekula? Umevaa nini childish!!!!
se
ma tu unapenda hela, sio kuanzia mbaaliiii
Aah bwana jinsia iko wazi hapo!
tunaposema mtu anajali tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out, hela za barbershop, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena.
Sasa wewe mwenzangu kujali unadhani ni kujiunga extreme na kuanza kummiminia mimeseji kuanzia asubuhi hadi usiku, mara bebi umekunywa chai? Umevaa nini? Bebi umeshakula lunch? Baby umelala? Baby mbona kimya? Wenzio wanatuma hela mpesa au tigo pesa then message inafuata ''baby nenda kale''.
Kwa style hii ukiachwa kuwa mpole.
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out, hela za barbershop, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena.
Sasa wewe mwenzangu kujali unadhani ni kujiunga extreme na kuanza kummiminia mimeseji kuanzia asubuhi hadi usiku, mara bebi umekunywa chai? umevaa nini? bebi umeshakula lunch? baby umelala? baby mbona kimya? wenzio wanatuma hela Mpesa au Tigo pesa then message inafuata ''baby nenda kale''.
Kwa style hii ukiachwa kuwa mpole.