Ujumbe kwa wanandoa watarajiwa!

Happy new year AD....
0032.gif
0007.gif
0025.gif
good to see you again.. sjui ulipotelea wapi dear..
 
ila challenge ni kujua malengo ya mwenzio. vipi kama mwanaume atajuaje malengo ya mwenzio, utausomaje moyo wa mwenzio?


Ni vigumu ila kama uko knowledgeable na ukajitahidi kutumia akili yako badala ya kuuachia moyo tu, at least unaweza kumtambua mtu ambaye ni mlaghai!!

ndiyo maana tunao huu wimbo,

"Utanitambuaje kama nimeokoka"???????
 
tunda ni tendo la ndoa
since hamna ndoa
no tundi

Duuhhhhh,

Utaweza kukaa na king'ang'anizi miezi 3 (wk 12) bila kuachia mzigo???

zozote zitakazotokea hadi kieleweke
kwanza mimi kuna watu sifiki nao hata siku tatu napiga chini kama ni mzushi

Kama kweli unatumia hii approach basi unastahili kusimama kwenye stage na kuwasaidia wadogo zako (na hata baadhi ya wakubwa zako) ambao mambo yamewashinda na wanafanya kupeana tu kama ubuyu!!
 
0020.gif

Sadly?
can you please explain that in more details?
NO, I can not.

Nwy ni hiviiii. . . If the "NOT" part wasn't there, the whole process would have been much easier. Unamtafuta tu unaetofautiana nae and BANG. . . you got yourself a perfect mate.
 
Communication.
Pamoja na kwamba ni ngumu kujua kilichopo kwenye moyo usio wako, mkiwa na mawasiliano yaliyosimana na ukaangalia matendo yake kwa ukaribu unaweza ukapata idea ya kilichopo.

There you are Lizzy,

Naona some umelipata kweli kweli....

Ndiyo maana tumeimbishwa sana huko nyuma...Talk, talk, talk, talk, talk,talk, talk, talk, talk...........!!!
 
NO, I can not.

Nwy ni hiviiii. . . If the "NOT" part wasn't there, the whole process would have been much easier. Unamtafuta tu unaetofautiana nae and BANG. . . you got yourself a perfect mate.

0015.gif
 
Sadly NOT all relationships can be based on "magnetic behaviour".

Nilitaka kusema hivyo hivyo....

Kuna watu wana relationship ambazo zimekaa kama ni paradox fulani ila zinasonga mbele!
 
Back
Top Bottom