Ujumbe kwa wanandoa watarajiwa!

Kweli dada,

But I think it is great to know, appreciate and be informed about the facts. Au wewe unaonaje??

Babu DC!!!

Sina maoni tofauti, ila ni ngumu sana kusema never... sitaoa au olewa na mwenye sifa hizi na zile.

Ni vizuri kuweka flexibility kwani hakuna binadamu aliyekamilika, asiye na hili ana lile. Cha msingi ni kutest, kitu amabcho ni trick. Kwa uzoefu wengi wanaokuwa wachumba muda mrefu wanaishia kutooana, tena mbaya zaidi ni kuwa hata wale walioamua kuishi na wachumba zao waliachana na kuishia kuwa maadui wakubwa.

All in all, kila mmoja atakuwajibika kwa matendo yake. Kupanga si kuchagua na mwenye hekima hatajuta.
 
Hahahahahahah,

Hujambo dogo? Heri ya mwaka mpya!!

Wewe ni wa pili after Lizzy, kuwapasia wengine mpira badala ya kuucheza!!

Vyovyote vile, naamini umeambulia kitu cha kukufaa kama silaha muhimu mbele ya safari inayokukabili!!

Usisahau kula na wenzio akina Hus!!

Babu DC!!
Hahahaha!! Babu usijali
 
No! babu DC,usiache kusema,sema hata kama utaokoa 10% tu!What i meant ni kwamba wanaohitaji kuoa ni lazima wajue hayo niliyoyasema pia kwani nami nitakua nimeokoa 5% na kwa pamoja tutakua tumeokoa 100%!What a fantastic!!
 
Sina maoni tofauti, ila ni ngumu sana kusema never... sitaoa au olewa na mwenye sifa hizi na zile.

Ni vizuri kuweka flexibility kwani hakuna binadamu aliyekamilika, asiye na hili ana lile. Cha msingi ni kutest, kitu amabcho ni trick. Kwa uzoefu wengi wanaokuwa wachumba muda mrefu wanaishia kutooana, tena mbaya zaidi ni kuwa hata wale walioamua kuishi na wachumba zao waliachana na kuishia kuwa maadui wakubwa.

All in all, kila mmoja atakuwajibika kwa matendo yake. Kupanga si kuchagua na mwenye hekima hatajuta.

Kweli kabisa...ni bora kuchukua tahadhari ili mwisho wa siku ukubaliane na matokeo!!

Ni kweki hapo (blue)???
 
off ourse si kweli kwamba kupanga ni kuchagua... haiapply kwenye mapenzi.

Hivyo kama ulivyowanasihi vijana, pia wakumbuke kwenye kuoa au kuolewa si kufanya 100% makeover. Kama mwanaume anasema sitaki kuoa msichana mwenye sifa hii, na ikatokea yule mwenye sifa unazotaka hataki kuwa na mwanaume mwenye sifa zako, utafanyaje? remain bachelor for the rest of your life? Kupanga si kuchagua bana...
 
Babu DC, asante kwa neno hili! Nimeona mtu amekuwa na BF kwa miaka 7, wanaishi mji mmoja lakini mdada hajui boifrendi anapoishi! Hii si kwa wanaume tu, hata wanawake! Kuna hajui BF anaishi wapi, anafanya kazi wapi, anafanya kazi gani, hajui marafiki zake wala ndugu zake! Kwanza inaonesha jinsi usivyomjali mwenzio!
Khaaa! Walikuwa na malengo kweli jamani? Au huyo BF alikuwa husband wa mtu?...lol. Seven years???
 
off ourse si kweli kwamba kupanga ni kuchagua... haiapply kwenye mapenzi.

Hivyo kama ulivyowanasihi vijana, pia wakumbuke kwenye kuoa au kuolewa si kufanya 100% makeover. Kama mwanaume anasema sitaki kuoa msichana mwenye sifa hii, na ikatokea yule mwenye sifa unazotaka hataki kuwa na mwanaume mwenye sifa zako, utafanyaje? remain bachelor for the rest of your life? Kupanga si kuchagua bana...

Nimekuelewa sasa,

Ni kweli kabisa...ndoa ni ya watu 2, kwa hiyo mmoja hawezi kumlazimisha mwenzake aone kila kitu kama yeye anavyokiona na kuamini......But, ukiwa unajitambua, basi itakusaidia kudeal na realities badala ya kuhangaika na vivuli/ndoto!!

Babu DC
 
nani ajitambue, mwanaume? mwanamke? wote? Nadhani issue ya kujitambua ikiingia hapo hakutakuwa na ndoa. Kila mmoja, mwanamke na mwanaume, acheze kwa step asimkanyage mwenzie?
 
Hapana ndugu,

Kila mtu anatakiwa kujitambua hata akiwa bado mtoto, kijana na kwenye ndoa pia.. Usipojitambua ndiyo unaweza kujikuta unachezewa kama gari bovu!!

Baado naamini kujitambua ni muhimu sana ili uweze kufana M&E ya malengo yako uliyokuwa nayo kabla ya kuingia kwenye ndoa na kufanya projections kama kweli utaambulia kitu au ndiyo utaishi kwa hasara!!
 
Safi sana Lizzy,

Ndiyo maana juzi nilisema kwamba tayari wewe umehitimu...Tunasubiri kukupa cheti na kuona praktiko!!

Mungu atembee na wewe popote unapoenda,

Ni dua za,

Babu DC (1947)!!

Hahahaah. . . . babu ina maana hili hujaona siku zote?
 
Hapana ndugu,

Kila mtu anatakiwa kujitambua hata akiwa bado mtoto, kijana na kwenye ndoa pia.. Usipojitambua ndiyo unaweza kujikuta unachezewa kama gari bovu!!

Baado naamini kujitambua ni muhimu sana ili uweze kufana M&E ya malengo yako uliyokuwa nayo kabla ya kuingia kwenye ndoa na kufanya projections kama kweli utaambulia kitu au ndiyo utaishi kwa hasara!!

ila challenge ni kujua malengo ya mwenzio. vipi kama mwanaume atajuaje malengo ya mwenzio, utausomaje moyo wa mwenzio?
 
Poa tu kama wadau watakubaliana na wewe.....!!!

Unaweza kushauri nini kifanyike na kipi kisifanyike ndani ya hiyo miezi 3???

Mfano, ni fair kupeana tunda katika huo muda mfupi??

Babu DC!!
tunda ni tendo la ndoa
since hamna ndoa
no tundi
 
ila challenge ni kujua malengo ya mwenzio. vipi kama mwanaume atajuaje malengo ya mwenzio, utausomaje moyo wa mwenzio?

Communication.
Pamoja na kwamba ni ngumu kujua kilichopo kwenye moyo usio wako, mkiwa na mawasiliano yaliyosimana na ukaangalia matendo yake kwa ukaribu unaweza ukapata idea ya kilichopo.
 
attractrepel2.gif
 
Back
Top Bottom