Mimi muda huu nipo chooni naoga..ila huko nje nasikia makelele... nikitoka nitawaambia kuwa yalikuwa makelele ya nini....
Bado uko chooni tu! tunasubiri kujua makelele ukiyokuwa unayasikia kuwa ya nini .
Ndio namalizia mkuu si unajua niliunganisha na gogo...na mambo mengine ya CHAPUTA..it takes time...
We we chooni/@msalani sio mahali pa kuogeaMimi muda huu nipo chooni naoga..ila huko nje nasikia makelele... nikitoka nitawaambia kuwa yalikuwa makelele ya nini....
We we chooni/@msalani sio mahali pa kuogea
Mimi muda huu nipo chooni naoga..ila huko nje nasikia makelele... nikitoka nitawaambia kuwa yalikuwa makelele ya nini....