Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,912
Ndio namalizia mkuu si unajua niliunganisha na gogo...na mambo mengine ya CHAPUTA..it takes time...
Umetisha....
Ndio namalizia mkuu si unajua niliunganisha na gogo...na mambo mengine ya CHAPUTA..it takes time...
Hapa nilipo kuna watoto wanacheza mpira, wakati huohuo mimi nacomment kwenye hii thread, sio hivyo tu hapa nimekaa kwenye kiti cha plastic na hali ya hewa ni ya mawingu kuashiria mvua itashuka muda wowote.
Nilisahau hapa nilipo nimevaa vyema, na pia napumua bila tatizo.
Ntazidi kuwajuza kinachoendelea jamani
nipo pande flan hv amazing nacheki vishkwambi hapa wakaree wakipita.. ndo habar nlizonazo now
Ulishaiangalia RANGO na KUNG FU PANDA.
Great thinka tupiamo na kapicha basi bila shaka hata chabo uwa unapiga weye!
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
Near by Mbembela Mbeya.
Habari ndugu wote!!! jamani naomba kila mwana JF aweze kutoa taarifa za mambo yanaotokea au kufanyika mahali ulipo.
Pia muhimu wanaJF walio karibu kufahamiana ili kutoa habari na kujulishana kama kuna tukio mahali.
Mfano: Mimi nipo Kilombero kwa hiyo, ni vema tukajuana, na wengne pia.
NATOA MAONI
Tayari mkuu...yalikuwa ni makelele ya ugomvi wa mahawara waliofumaniana....si unajua uswazi papuchi inavyotukuzwa na mabitozi.......Badoo tu... KikulachoChako
zote nimezicheki hizoUlishaiangalia RANGO na KUNG FU PANDA.