Karibu Tabata Kimanga
umeanza tena kuvuta bange?
Habari ndugu wote!!! jamani naomba kila mwana JF aweze kutoa taarifa za mambo yanaotokea au kufanyika mahali ulipo.
Pia muhimu wanaJF walio karibu kufahamiana ili kutoa habari na kujulishana kama kuna tukio mahali.
Mfano: Mimi nipo Kilombero kwa hiyo, ni vema tukajuana, na wengne pia.
NATOA MAONI

Niko hapa Baracuda Tabata..gari yangu imezima baada ya kuingia maji kwenye mfumo wa umeme.Kuna mvua kubwa saana.
Habari ndugu wote!!! jamani naomba kila mwana JF aweze kutoa taarifa za mambo yanaotokea au kufanyika mahali ulipo.
Pia muhimu wanaJF walio karibu kufahamiana ili kutoa habari na kujulishana kama kuna tukio mahali.
Mfano: Mimi nipo Kilombero kwa hiyo, ni vema tukajuana, na wengne pia.
NATOA MAONI
Mie nipo home nipo online nasoma article kwenye Citizen Newspaper yenye kichwa cha habari My life is in danger-Mengi.