nash2010
JF-Expert Member
- Jun 18, 2010
- 624
- 216
- Thread starter
- #21
Kutokana na reaction ya mpenzi wangu hii binafsi naichukulia kama surprise gone wrong, kweli sio jambo jema.
turudi kwenye uzi, lengo kama nilivyo sema awali ni kuwaomba kina dada wasilazimishe sana fikra hasi, mengine ni maelezo ya ziada. Japokuwa naona lililo onekana zaidi kwenye hii post ni la "surprise" ili lishatokea jamani tugange yajayo.
Usife moyo,umetenda lililo jema!