Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
sun wu umeendelea kuzungumza kwa mazoea kama wengine walivyosema
'
Inawezekana ni kweli kuwa mambo ya suprise yakawa kweli si ya muhimu,lakini ulazima wa kuwa pamoja umeutoa wapi?
'
Unaposema ni dharau ni kwa kipimo cha nani?Kwanza dharau ni kufanya nini?
'
Mazoea yana adhabu sana!