Ujumbe kwa walio nje; Uingie ndani au ukatwe shingo. Mlango upo wazi, na kisu kipo karibu, chagua.

Oct 5, 2015
88
476
Wale walio ndani wamenyolewa sawa na walio nje. Hawana manyoya, hawawezi kupaa, wanashangaana! Na kisu, baada ya kukata manyoya yote, kimewekwa karibu kutoa ujumbe kwa wote.

Ujumbe kwa walio nje; Uingie ndani au ukatwe shingo. Mlango upo wazi, na kisu kipo karibu, chagua.

Ujumbe kwa walio ndani; Ukitoka tu unakatwa shingo.

#Tafsiri_Ya_Mjinga_Usinifatilize
FB_IMG_1519757022228.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom