Ujumbe kwa wake za watu!

Ujumbe kwa wake za watu!

Kuna ule usemi eti nyani haoni kundule(ashakum si matusi)

Wewe ni nyani usiyeona (.......)

Mke akivuliwa ni kosa lakini mwanaume akiwavua ndio anaonekana kidume e?

Kuna boya mmoja atakuja kusema mie ni mke wa mtu ninayevuliwa so najitetea
Ama atasema mwanamke hashindani na mwanaume
 
We mke wa mtu umevuliwa sasa unajitetea... Sjui tayar nshakua Boya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume ukiacha kuvua vua wanawake hovyo utapata muda wakukaa na mkeo naye hata pata muda wakuvuliwa navivulana huko mtaani, tatizo nyie mnashinda na michepuko huko nje mnasahau nyumbani nao wafanye nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ule usemi eti nyani haoni kundule(ashakum si matusi)

Wewe ni nyani usiyeona (.......)

Mke akivuliwa ni kosa lakini mwanaume akiwavua ndio anaonekana kidume e?

Kuna boya mmoja atakuja kusema mie ni mke wa mtu ninayevuliwa so najitetea
Ama atasema mwanamke hashindani na mwanaume
Asante
 
Hivi wake za watu, wapi mnafeli.
Kuwapenda kaka za watu, waume zenu kuwakejeli.
Mnavuliwa Kama viatu na viwanaume vitapeli.
Mnazitoa Siri zetu kwa wasiokua wahalali.
Mnaliwa chumbani kwetu si Bora mkaliwe mbali.
Hata marafiki zetu mnagawa bila kujali.
Eti kisa Hali zetu mnadanganya na magari.
Nawapa kiliochetu tutawachoma kwa petroli.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ushauri wako kwa wake za wtu unajisumua tu mtu mzima nayejua sababu za kutoka nje ya ndoa yake mwenyewe utamwambia nn akuelewe ?
 
Back
Top Bottom