Ujumbe Kwa Tanapa - Utalii

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,227
1,548
TANAPA,

It is nice to see the website is on.
Serengeti as a World Famous Park could have its own website containing details of facilities available there such as Hotels, Travel Agents, airport etc.

Searching for the news about Serengeti should lead someone to that Website. It should also INDICATE that SERENGETI IS IN TANZANIA.

A children's TV program "DORA" watched by millions of people around the world featured serengeti but there was no indication of which country the Park is.

The name TANZANIA should in most cases appear on whichever Park when displayed.

Congrats, its a good start
 
Kwanza hongereni kwa tangazo la CNN kuhusu Utalii Tanzania

ushauri mwingine,

1.Mnaonaje mkiweka na matangazo katika zile Channels zinazoonyesha wanyama na maliasili e.g. Animal Planet and National Geographic.

2.Badala ya kutegemea hizi Documentary zinazowekwa na watu binafsi ambazo mara nyinginimeona zinamislead watazamaji..................kwani utaona wanaonyesha let say Serengeti kidogo na baadaye wanaonyesha maybe soutAfrica/kenya na hapo utaona hizo nchi zikizungumziwa sana ..........................kwa hiyo tuwafuate huko huko ktk channels wanazopotosha na sisi tuweke documentary zetu za kuhus maliasili zetu huko huko Animal Planet na National Geographic

3. Kuna matangazo mengi toka Kenya, yansema Njoo Kenya utapanda Kilimanjaro na utaona serengeti................Nafikir na sisi tuweke ya kwetu tukisema ...."Kilimanjaro Iko Tanzania sio kenya......Ukitaka kuona Serengeti kwa unafuu Njoo Tanzania kwani Serengeti iko Tanzania usilipe mara mbili kwa kupitia Kenya!!!....something like that.........kwa kuwa Wakenya wametuchafulia soko la maliasili zetu nasisi inabidi tujibu mapigo........just thinking.............
 
Msee,
Umefikiria kwa makelele, mie nimesikia na nadhani wahusika pia wamesikia......good job brother!!. Kuitendea haki TZ sio lazima tu uwe mtu unayepigia makelele mafisadi bali kuitangaza na kutoa ushauri yakinifu inawezekana kuwa ni njia nzuri zaidi ya zote. Mie na t-shirt kadha za kibongo huwa navaa hapa ninapoishi, na mara kadha nimesisimamishwa barabarani kuulizwa hili na lile juu ya utalii na TZ kwa ujumla. Nina flana ya "learn swahili" ambayo ina mapicha kibao ya wanyama, nyingine favorite ni "Tanzania the land of kilimanjaro"........najua watu watatu ambao wametia timu bongo kutalii kwa ajili yangu.
Unakumbuka ule mziki wa kwenye zilipendwa unaitwa "mwalimu kasema if can be done, play your part." Yes sir, i'm playin' my part. Kaka two big thumbs up for ya' efforts.....kwikwikwi naona hii thread sio maarufu kwasababu hai-bash upinzani, kazi tunayo!!!.
 
Wakuu nashukuru kuona jitihada zenu katika kuitangaza Tanzania na kama Jina lako ni Jina langu alivyosema ni jukumu la kila mmoja kuitangaza kwa njia yeyote ile. Si unaona hata Bongo kwenyewe watu wanaweka mapazia ya bendera za Marekani na wanajifunga vilemba vya Marekani?


Mimi pia niko na likofia langu la MT Klnjro na Tshit nikiliva kwenye Train watu wanakodolea macho. Mimi ninajua kunabaadhi ya washikaji hata hawataki kujulikana ni wabongo basi siku moja niko na mshikaji nilicheka sana jamaa anajitambulisha kwa bint katoka US si unajua wa Asia wengine mademu wanapenda wa US tuu hata kama ni mfungwa?


Mkuu kama ulivyo sema hii mada kwasababu haigusi U CCM na Uchadema basi haitafikiasha hata post 10 nakuambia itaishia hapo. Tumeona mada nyingi za maana za namna ya kuisaidia Tanzania zikianzishwa utaona inaisha mara mora lakini ikija udaku sijui na Ufisadi , sijui kazomewa utashangaa watu wanavyoichangamkia.


Jamani nasi tuplay our part ili kama ni maisha bora basi nasi tuwe tumeweka mchango wetu wa kimawazo.
 
Msee,
nakubaliana na wewe, nipo on the go 'magharibi ya mbali' natumia cellphone, otherwise ningekufanyia uungwana.......play your part brother!!.
Thanx and have a blessing day.
 
Msee,
nakubaliana na wewe, nipo on the go 'magharibi ya mbali' natumia cellphone, otherwise ningekufanyia uungwana.......play your part brother!!.
Thanx and have a blessing day.

Poa mkuu haina shida ndio kuipigania nchi yetu. Nadhani hata hizi Tshit na kanga zingeweza kuwepo kwenye balozi zitu watu wanunue na hii ni kuwajengea wajasiriamali kama wale kule Mwenge vinyagoni masoko. http://www.tanzaniatourismonline.com/
 
Unajua kuna mambo mengi hapa JF huwa yanzungumzwa.......na huko serikalini nimeshuhudia ikifanyiwa majadiliano na hatimaye hufanyiwa kazi............kwa mfano Tangazo la CNN lilipendekezwa hapa hapa JF wengine tulipinga na wengine tuli-support, nafikri hoja za walio support zilionekan kuwa na uzito zaidi na hatimaye tumeona Tangazo CNN.

Moja ya mambo ambayo yanaipa Credibility hii JF ni kuchangia mawazo kuhus maendeleo huko nyumbani.

Trust me jamaa hupita humu JF na kuyafanyia kazi mawazo ya watu.....hivyo tujitahidi ku-share experiences zetu
 
ni kweli mkuu mimi nakumbuka siku napata habari za Amina Chifupa niliambiawa na Kamishina msaidizi wizara moja Nyeti kuwa nasiki hivi nikamwambia bado sina Taarifa ndio akanitumia link ya JF. Anyway ni wengi huwa wanapita huku na tusichoke kuchangia humu japo thread za issue technocal kama hi huwa watu hawaichangii kwa sababu haina siasa kwa sana. Kwa wale wachache wanaoweza kuichangia, ichangiwe wekeni mawazo hapa namna ya kuisaidia nchi yetu.

Kunanamna nyingi sana ya kuitangaza tanzania kama mfano serikali (kupitia wizara ya Utalii) wanaweza kuchapisha vipeperushi vyenye kuonyesha utalii wa tanzania kwa lugha kadhaa kama Kiingereza, kifaransa, kishwahili, kijapan, etc. Just simple vipeperushi. Kwenye departure pale airpor wageni wanagawiwa, viongozi wakisafiri nnje au maofisa wakisafiri nnje wanagawa kama soavenia vile. Kahawa ya Kilimanjaro inapata sana umaarufu siku moja nimenunua kahawa ya Kilimanjaro imeandikwa kwa kishahili lakini imeandikwa Produced by PT Aneka coffee industry Raya Trosobo Sidoarjo INDONESIA. Nilisikitika sana sasa mshikaji niliyemwambia tununue kahawa ya kwetu ananiambia lakini mbona imetengenezewa Indonesia?


Kuna umuhimu sana wa kuitangaza nnchi kuliko ilivyosasa hivi.
 
ni kweli mkuu mimi nakumbuka siku napata habari za Amina Chifupa niliambiawa na Kamishina msaidizi wizara moja Nyeti kuwa nasiki hivi nikamwambia bado sina Taarifa ndio akanitumia link ya JF. Anyway ni wengi huwa wanapita huku na tusichoke kuchangia humu japo thread za issue technocal kama hi huwa watu hawaichangii kwa sababu haina siasa kwa sana. Kwa wale wachache wanaoweza kuichangia, ichangiwe wekeni mawazo hapa namna ya kuisaidia nchi yetu.

Kunanamna nyingi sana ya kuitangaza tanzania kama mfano serikali (kupitia wizara ya Utalii) wanaweza kuchapisha vipeperushi vyenye kuonyesha utalii wa tanzania kwa lugha kadhaa kama Kiingereza, kifaransa, kishwahili, kijapan, etc. Just simple vipeperushi. Kwenye departure pale airpor wageni wanagawiwa, viongozi wakisafiri nnje au maofisa wakisafiri nnje wanagawa kama soavenia vile. Kahawa ya Kilimanjaro inapata sana umaarufu siku moja nimenunua kahawa ya Kilimanjaro imeandikwa kwa kishahili lakini imeandikwa Produced by PT Aneka coffee industry Raya Trosobo Sidoarjo INDONESIA. Nilisikitika sana sasa mshikaji niliyemwambia tununue kahawa ya kwetu ananiambia lakini mbona imetengenezewa Indonesia?


Kuna umuhimu sana wa kuitangaza nnchi kuliko ilivyosasa hivi.

Mambo kama haya washikadau wa JF hawapendi kuyapa uzito unaostahili for obvious reason hakuna U-ccm wala U-Chadema, hapo ndipo tulipolifikisha taifa hili watu wapo busy kushadadia mambo udaku.

You guys mmeonyesha njia bravo.. mmekaa huku mnajadili mambo ya msingi kwa mustakbal wa taifa letu, i wish the whole JF ingekuwa kama hivi lakini wapi....
 
Safi sana!!!

tunajikongoja katika kuijenga TANZANIA as a BRAND...


A Brand; symbolic embodiment of all the information connected to the product and serves to create associations and expectations around it.

...maana wenzetu KENYA wao walishajijenga hilo siku nyingi kiasi kwamba ukiwa ughaibuni ukitaja SAFARI, Kiswahili, Kilimanyaro inajulikana ni KENYA!!! huh!!!!

TANAPA mmefanya la maana sana!

linalotakiwa sasa ni kuboresha na kusimamia viwango vya ubora wa huduma kuanzia malazi, vyakula, usafiri (ikiwemo miundombinu), makaazi na ajira za wafanyakazi kwenye maeneo ya vivutio hivyo, na huduma za dharura kama Hospitali, na usalama kwa watalii tunaowavutia.

TANZANIA imejaaliwa vivutio vingi licha ya SERENGETI, kuna;

Ngorongoro Crater; Called the eighth wonder of the world and stretching across some 8,300 sq km, the Ngorongoro Conservation Area in northern Tanzania boasts a blend of landscapes, wildlife, people and archaeology that is unsurpassed in Africa.

Olduvai Gorge; Regarded as mankind's first step on on the ladder of human revolution.

Selous Game Reserves; The largest protected wildlife area in Africa.

Amboni Caves; The most extensive cave system in East Africa. nk nk...

Mkomazi Game reserve; containing 90% of all Botanic speciaes found in Tanzania with one third classified as unique in the world!

Kondoa Irangi Rock Paintings; Some of the finest examples of the rock paintings in the world!

Bila kusahau underwater world snorkelling na Diving katika beaches za Matemwe, Kiwengwa, Uroa Bwejuu, na coral reefs za Mnemba Island Unguja.

Chumbe Island (UN protected area) is one of the most spectacular coral gardens to be found anywhere in the world!

Taratibu ndio mwendo, i hope ipo siku ukiitaja TANZANIA moja kwa moja mgeni/ugenini mtu atapatwa na taswira ya 'endless attractions awaiting to be explored!' ...nasi tunapaswa kuwatembeza watoto wetu ili nao wajue 'urithi' tulojaaliwa nao. Hivi mashuleni (Tanzania) haiwezekani kuwa na hizi organised tours (kutembelea vivutio) jamani kwa manufaa ya watoto wetu ambao ni taifa la kesho?
 
Mkuu mchongoma.Heshima mkuu. Vivutio tulivyonavyo ni vingi sana lakini hatuvitangazi. Mfano kama ulivyotaja Amboni Carves ni mapango mazuri ajabu. zamani kulikuwa na umeme unafika hadi yale maeneo lakini sasa hamna. Mimi nakumbuka nilipokuwa nasoma Tanga miaka hiyo tulikuwa tunatembelea sana Amboni carves. Mapango kama haya yanaweza kutuingizia mabilioni ya pesa jamani serikali naomba waangalie haya. Kama kuna mtu yupo Tanga jama nenda pale piga picha andika makala magazetini. Kwanza sidhani hata kuna njia ya kwende huko Amboni na sijui kama local government ya Tanga wame identfy kama source yarevenue kwao.


SIo hivyo tuu ukienda Lindi mjini nyuma tuu ya Uwanja wa mpira (nimesahau jina lake) kunajengo moja liko kama likisima hivi hapo watumwa walikuwa wanawekwa kabla ya kuwasafirishwa nalo lipo tuu linaisha linahitaji matunzo.

Ukienda kule Kibosho mkoani kilimanjaro sehemu inaitwa Kirima kuna Ghorofa kubwa la mbao lilijengwa zamani na inaaminika Mangi sina alikuwa anaishi humo. nalo limeachwa tuu zote hizo historical sites zinaweza kuingiza pesa nyingi sana. Nenda Japan uone watalii wanaotembelea shrines utashangaa.


Utalii uliopo Itali na nchi nyingi za ulaya ni majengo ya kale ya kihistoria. Kama kuna mwana JF yupo maeneo haya niliyoyataja apige picha atuletee tuweke kwenye site.

Pamoja na mambuga ya wanyama, milima, tamaduni, etc bado hatupo kwenye ramani ya dunia ya utalii.
 
Wakuu mkisoma kama hii article ya jamaa hapa mtaona kunanafasi nzuri sana ya Tanzania kutumia haya mapango na kuingiza mabilion ya dola. Nadhani Kenya bado hawajaanza kuyatangaza Njoo kenya utembelee Mapango ya Amboni.Tembeleeni hii Site Tutangaze rasilimali zetu tulizopewa na Mola. Hapa serikali inaweza kusapot kwa vitu kama toch etc. Na mji wa Tanga nao ukafaidika. Tanzaniwa tunbaraka nyingi tunashindwa kuzitumia.

http://www.africa-ata.org/tanzania_caves.htm

http://www.africa-ata.org/tanzania_caves2.htm
 
Unajua kuna mambo mengi hapa JF huwa yanzungumzwa.......na huko serikalini nimeshuhudia ikifanyiwa majadiliano na hatimaye hufanyiwa kazi............kwa mfano Tangazo la CNN lilipendekezwa hapa hapa JF wengine tulipinga na wengine tuli-support, nafikri hoja za walio support zilionekan kuwa na uzito zaidi na hatimaye tumeona Tangazo CNN.

Moja ya mambo ambayo yanaipa Credibility hii JF ni kuchangia mawazo kuhus maendeleo huko nyumbani.

Trust me jamaa hupita humu JF na kuyafanyia kazi mawazo ya watu.....hivyo tujitahidi ku-share experiences zetu
Mimi pia nakumbuka kuna topik nilitoa ya kufanya marekebisho jambo flani kwenye ubalozi haikupita mwezi kila kitu kikawa kipya...so ur right jamaa huwa wanapitia hapa wanasoma wanafanyia kazi...thats good na ndipo ilinapokuja suala la credibility ya JF
 
Posted Monday, May 18 2009

The Tanzania National Parks Authority (Tanapa) is on the spot over the embezzlement of $1.2 million meant to compensate villagers evicted from the Usangu Valley in Mbeya Region, southern Tanzania.

The eviction paved the the way for the creation of national parks.

According to the latest Controller and Auditor General report, a payment of $3.3 million was authorised by the Cabinet to pay villagers of Msangaji, Idunda, Ukwaheri, Sololwambo and Upagama, Iona, Mapogoro (Isimike) Vikaye (Kapungu), Ikanutwa (Tangawanu) and Kiwale.

However, Controller and Auditor General Ludovick Utouh said audits show that Tanapa released $4.5 million as compensation to the villagers by June 30, 2008, and there is no evidence as to whether the extra funds amounting to $1.2 million were approved by the Cabinet and Tanapa Board of Trustees.

The funds, channelled through the Ministry of Tourism and Natural Resources were not fully accounted for, thereby triggering fears of embezzlement of public finances, says the Auditor General’s report.

The report further says that there is no evidence or audit trail to suggest that the funds were received by the intended beneficiaries who have already been evicted from the said villages.

The eviction was informed by the government’s decision to include Usangu in Ruaha National Park, and payments to affected villagers were to be made in accordance with the Village Land Act, 1999.

Usangu Reserve was first gazet-ted as a protected area by the colonial government in 1953 and it was gazetted as a Game Reserve by the government in 1998.

The objective of the government was not only to protect the animal diversity, but to also conserve the waters of the Great Ruaha River.

The Ihefu Wetland in the Usangu Game Reserve is the natural water reservoir for the Great Ruaha River, and had previously been invaded by pastoralists.

On the other hand, it is also believed that as a tourist attraction, the area was underexploited due to lack of resources to market and manage the facility.


It is important to note that the Ihefu Wetlands is the catchment area for the Ruaha river which produces over 60 per cent of the country’s hydroelectric power. The government’s object is to restore the continuous and sustainable flow of the Great Ruaha River by 2010.

But during a similar eviction in 2007, critics said the operation to transfer thousands of livestock from Mbarali district, in the southern highlands region of Mbeya to the southern regions of Lindi and Mtwara, “grossly violated human rights,” in which evicted families lost properties and were subjected to a miserable life.

Critics said the government also acted contrary to its own promise to recognize livestock keeping as one of its strategies in fighting poverty as addressed in the National Strategy for Growth and Poverty Reduction, and that it acted irresponsibly as thousands of livestock continue to perish in transfer as a result of poor logistical arrangement, lacking veterinary services and other services.

A research by three civil societies of Land Rights Research & Resources Institute, Pastoralists Indigenous Non-governmental Organisation’s Forum and Legal and Human Rights Centre show that the government failed to recognise the role played by the livestock sub-sector, affecting households income negatively and the national economy.

Although no comprehensive statistics are available, the situation in Kilwa during the time illustrated government unpreparedness as reports indicated that more than 10,000 cattle died of diseases and fatigue. Veterinary facilities such as cattle dip were also missing.


Source: East African Newspaper
 
Dawa ni moja tu . . . . Sheria ziwe kali na zisimamiwe vema.

Then kama ikiwa confirmed beyond reasonable doubt . . . . NI KUPIGA RISASI, KISHA MAISHA YANASONGA MBELE.

Tumechoka.
 
Sasa hapa wanataka kumkaanga Juma Pinto wakati ofisi kubwa ndio iliyotoa directives apewe hizo tenda za kuadvertise nchi bila kufuata taratibu za Procurement act

Sasa nashangaa kwa nini watu wa TANAPA hawakumwonyesha huyo CAG vile vimemo ambavyo vilitoka ofisi kubwa kutoa directives kuwa Jambo Publications ipewe kazi ya kutangaza Tanzania

Kilichobaki ni Jambo publications na Juma Pinto wajisafishe ama sivyo kila mtu ataogopa kuwapa kazi kama za diaries,kaenda na kadhalika maana si kila mtu alipenda Pinto kupewa kazi na competitors watakuwa wameona shortfalls

Ikulu nayo inabidi ijisafishe kwenye hili...wao badala ya kufuata taratibu zilizopo kwenye PPRA act ya 2004 wao wamekuwa mstari wa mbele kutoa vimemo left and right


Tanzania National Parks is in the spotlight over irregularities in the procurement of services from two international media firms — the Atlanta, US-based Cable News Network (CNN) and Jambo Publications Ltd of London.

Tanapa, as the parks authority is known, is one of several public entities found to have been riddled with massive financial irregularities in the latest audit report by Controller and Auditor General Ludovic Utouh that has booked it under “specific observation.”

The CAG said the procurement for advertising services from CNN and Jambo Publications did not follow official procurement procedures, adding that his office found that the Ministry of National Resources and Tourism, contrary to the requirements of the Public Procurement Act of 2004, handled all procurement processes.

The total contract sum of advertising with CNN for the year 2007/2008 amounted to $750,000. Further, Tanapa signed a new contract for $800,000 for the year 2008/09 for advertising services.

According to the Annual General Report of the Controller and Auditor General on the Financial Statements of Public Authorities and Other Bodies for the Financial Year 2007/2008, the contract was signed by the Director General of Tanzania National Parks Gerald Bigurube and (Rtd) Col Emmanuel S. Balele, board chairman at the time.

Interestingly, both contracts fail to specifically indicate the timing, duration, length and frequency per day of the advertisements contracted for.

The contracts also do not indicate week or month or any other details about what time the adverts were to be carried, or procedures to monitor whether the advertisement was aired at the right times and at the right quality.

Terms of payments are also lacking.

For instance, Tanapa made a lump sum payment of Tsh1 billion ($1 million) in October 2007 in favour of CNN. “The payments were not supported by broadcasting confirmation orders or any other documents, confirming frequencies of the advertisements aired by CNN,” says the report.

In the case of advertising with Jambo Publications Ltd, London, Tanapa paid a total of $272,006.45 as fees in respect of advertising services for six months from January to June, 2008 at London’s Heathrow Airport.

Advertisements on Terminal Four were paid for at $68,373.23 and advertising services for six weeks on 100 London Buses at $203,633.20.

But in a surprising turn of events, the contract in respect of this service was not made available to the auditors for review upon demand. In addition, an invoice dated December 18, 2007 in respect of the above amount was addressed to the Tanzania Tourist Board but was paid by Tanapa. There was no evidence to suggest that the advertisement was carried out.

CNN.jpg


“In my opinion, there was no value for money achieved by Tanapa for carrying such transactions,” the CAG concluded.

The advertisement campaign was undertaken by the Ministry of Tourism as part of a major tourism promotion drive launched in 2007. The then tourism minister, Prof Jumanne Maghembe, announced the campaign when winding up the Tourism Bill of 2008 debate in the parliament in Dodoma last year.

In 2007, while visiting the US to attend the UN general assembly, President Jakaya Kikwete launched a Tanzania tourism promotion campaign in major American newspapers, on CNN America and billboards at international airports in America and Europe. The country planned to spend $1 million on its first ever tourism-marketing campaign in the US.

But when asked for comment on the CAG’s report in relation to the queried contracts, Tanapa boss Mr Bigurube, told The EastAfrican last Thursday that “the report is still being worked upon,” implying that more details might be expected to emerge to clear the air.

The campaign, undertaken under the slogan of “Tanzania, the Land of Kilimanjaro, Zanzibar and the Serengeti,” was expected to help attract one million tourists annually.Television commercials were scheduled to be aired on CNN, CNN Headline News, CNN Airport Networks as well as CNN.com with the aim of persuading more American tourists to visit the country.

The campaign was launched to coincide with another campaign in the US to attract African American investors to participate the Eighth Leon Sullivan Summit held in Tanzania mid last year.

Authorities say more investments in the accommodation and transport sectors are needed for Tanzania to attract one million tourists by 2010. This essentially means building more tourist hotels in Serengeti National Park and the northern tourist circuit of the country.

Former tourism minister Prof Maghembe had said that the media campaign, together with a simultaneous Tanzania Travel Agent Specialist Programme offered by Travel Agent University, would help the country reach this goal by this year. Tanzania receives 612,000 visitors per year.

The marketing campaign in the US is also expected to boost annual tourism earnings from $700 million to $1 billion by 2010.“Tanzania allows unconditional repatriation of net profits, dividends, royalties and foreign loan repayments to foreign investors in the tourism sector,” Prof Maghembe said.

The East African - Tanapa gets bad press in report from CNN advert deal
 
...Interestingly, both contracts fail to specifically indicate the timing, duration, length and frequency per day of the advertisements contracted for.

The contracts also do not indicate week or month or any other details about what time the adverts were to be carried, or procedures to monitor whether the advertisement was aired at the right times and at the right quality...

You know sometimes when you read these stories it leaves you wondering if this is just incompetence, corruption or just plain stupidity.

SMH!!!!!
 
Back
Top Bottom