Ujumbe kwa rafiki yangu

Kuna mambo yanashangaza kweli,eti mtu umemlipia mahali na harus watu wamekula,anarud kwao na wazaz wanampokea,ubaya alienda na mwanangu.
 
Aisee!mpaka nimekuonea huruma kaka huo ulikua ubavu wa kulazimisha

Wengine wazazi ndo wanawajenhea viburi ujue!
Malezi nayo yanachangia sana tu!
 
mtoto wake ama yeye ni mama wa kambo? mwanamke mwenye roho ngumu hivi kwa mwanae hata ukamchinja ukampika haivi
 
mtoto wake ama yeye ni mama wa kambo? mwanamke mwenye roho ngumu hivi kwa mwanae hata ukamchinja ukampika haivi
Huyo nimtoto wangu na yeye,yule wa kwangu ambaye tumekaa naye toka grade one na sasa yko grade six, alijaribu kumfukuza nikawa mkali,ila dogo vitisho vilizid akatoroka akaenda kwa hib yke mzaa mama.
 
Kuna mambo yanashangaza kweli,eti mtu umemlipia mahali na harus watu wamekula,anarud kwao na wazaz wanampokea,ubaya alienda na mwanangu.
Kuna wazazi nao wanachangia watoto kuvunja ndoa zao. Aisee kuna familia kama hujarudi na barua ya maelezo au talaka, au simu basi rudi kwa mumeo, unless kuna ugomvi mkubwa kati yenu na unajulikana kwa wazazi na walishajitahidi kusuluhisha before bila mafanikio. Unampokeaje mke wa mtu bila taarifa yoyote kutoka kwa mumewe, tena anakaa nyumbani zaidi ya miezi 8 mmh? ?? Au wanakutegeshea uende, labda kuna mashtaka kakusemea kwao lol, but kama wazazi walipaswa kukutafuta
 
Inashangaza sana kwa hao wazazi Heaven Sent. Ila pia kakaetu alipaswa ku confirm kwa wazazi kama mke amefika kwao salama then ndio anyamaze.
Ila ameshachelewa sana.
 
Inashangaza sana kwa hao wazazi Heaven Sent. Ila pia kakaetu alipaswa ku confirm kwa wazazi kama mke amefika kwao salama then ndio anyamaze.
Ila ameshachelewa sana.
Ameondoka kwa kuaga au kwa kiburi? Maana kaka zetu unawajua vizuri, ukiondoka kwa kiburi hawezi kujishusha akuulize kama umefika salama, Ila atatafuta means ya kuconfirm kama umefika kweli. Na hao wazazi miezi yote hiyo, hawajiulizi kitu? Ndo Maana nikasema wakwe hata simu hawajapokea kuulizwa kama mke amefika na wapo tu kimya. Angekuwa ameaga lazima tu kuna mazingira wangeyaona, simu na sometimes wakwe mnatumiwa Na zawadi.
 
vijana-wavulana ndiyo husababisha stress kwa watu wao.

Ila Gentleman kama mimi..Natambua, nathamini, najali na najua thamani ya mwanamke.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] Hamna lolotee...

Ndo walewale!!my babu loves mee!!
Babu kijana yule!
 
Yule kwao ni first born halafu wazaz wake ni kama wanamuogopa flan hv,so alitegemea na mume atamuogopa.kimsingi aliondoka kwa kiburi tuu ingawa nilikuwa nataman aondoke maana,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…