Ujumbe kwa rafiki yangu

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ya kale dhahabu kuna@platozoom pia my switie pie....!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sawa ila ameanza kuchakaa tayari huyo

Bora nichukue nafasi hiyo mapema!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sawa ila ameanza kuchakaa tayari huyo

Bora nichukue nafasi hiyo mapema!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja aje hapa kama utakaa...!
my babu loves me...!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja aje hapa kama utakaa...!
my babu loves me...!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kumbe babu?

Mwambie akae atulie alee wajukuu asikae kuhangaika sasa!
 
Kabla hamjaoa muombeni sana Mungu awape wake wenye heri na nyinyi ...

Ile misemo ya "mwanamke shape, tabia tutavumiliana" iwekeni kando. Ukikosea ndoa... inakuwa doa.
 
Kabla hamjaoa muombeni sana Mungu awape wake wenye heri na nyinyi ...

Ile misemo ya "mwanamke shape, tabia tutavumiliana" iwekeni kando. Ukikosea ndoa... inakuwa doa.
Ukishapenda hukumbuk mambo mengine,hv wazaz nao vp? Mm sikwenda na hawajawah kunitafuta,ungeweza kuja inbox ningekuelekeza ungekutana nae,kama ni mtafiti lkn,ni maeneo ya mwenge hapo
 
Ukishapenda hukumbuk mambo mengine,hv wazaz nao vp? Mm sikwenda na hawajawah kunitafuta,ungeweza kuja inbox ningekuelekeza ungekutana nae,kama ni mtafiti lkn,ni maeneo ya mwenge hapo
Pole sana ndugu yangu... ndio ukubwa huo, next time kuwa makini kwenye kutafuta mwenza..
 
Mtoa post hongera
Nahisi huo uzi n shule tosha kwa wanawake wote
Hasa vibnt vinavyo vaa nusu uchi hvyo
Mjirekebishe ukifyetua watoto bas ww n mshika mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…