Ujumbe kwa rafiki yangu

Naanza kuamini Ile thread isemayo "hakuna mume mkorofi kwa mke mnyenyekevu"
 
Hongera sana miss chagga. Kumbe wanawake wanaojitambua bado wapo wengi. Big up!! Kuna cha kujifunza kwa wenye akili. Ila wale wa mwendokasi sijui kama watakuelewa.
wasipo elewa wataishia kulalamika tu kumbe wanatengeneza shetani wao wenyewe na ipo siku atawageuka na kuwamaliza
 
mwanaume mzima unashindwa kusimamia mambo ya nyumbani kwako huna aibu kujitaja hapa
 
Hilo neno nimechoka mie...

linamaanisha nini Mkuu?
 
mwanaume mzima unashindwa kusimamia mambo ya nyumbani kwako huna aibu kujitaja hapa
Unatafuta kama jina lako...ukipata utakuja kujitaja hapa....by the way...dont believe everything you read....some are fabrications to keepbthe ball rolling at the field.
next time usitokwe povu kihiivyo. ..game haihitaji hasira.
 
Wanawake wengi siku hizi katika kulea ni 00% kabisa.

Hata simshangai kwa hilo maana nawaona wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…