Ujumbe kwa Mh. JJ Mnyika and JF Members | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe kwa Mh. JJ Mnyika and JF Members

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MPadmire, Jun 30, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,402
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  TATIZO LA NISHATI TANZANIA.

  Mgao wa Umeme

  Pia Mafuta ya Taa sasa yamepandishwa bei.

  Maana yake watu wa mjini wanaumia na sasa hata wa vijijini wataumia sana. Pia Shule za kata, wanafunzi watasomaje? Prepo !!!

  MAPENDEKEZO: Mh Mnyika- Natumaini utazungumzia hili kama wewe ndio waziri Kivuli wa Nishati na Madini wa Chadema.

  Solar Power itumike.

  Kwanini hela za nyongeza ya mafuta taa zisiende kama ruzuku kwa Solar panels????

  Kwa nini serikali isiondoe kodi kwenye solar panels???

  By This way, I think pia tutaepuka uchafuzi wa mazingira. Maana yake Hata waziri kivuli Mazingira wa CHADEMA anaweza kuzungumzia hilo katika budget mbadala.

  Note: Siwafundishi kazi, bali ni tu ni maoni
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 2,996
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Utakuwa umetumwa na wauza mafuta, ili waendele kuchakachua na kutuharibia magari yetu!!!
   
 3. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,474
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mimi nilidhani Mnyika ni waziri kivuli wa katiba,maana ameikariri kichwani,kazi kubishana mambo ya vipengele na pinda....umeme na nishati wala hataji.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna mbunge yeyote anayeingia JF anatembelea jukwaa la Teknolojia.? kuna siku niliwa pm wabunge wote wa chama cha magamba na CDm kuwapa ushauri fulani lakini naona wote wako busy au hawakuelewa nilichopendekeza.

  Inawezekana kweli kuna maoni ukitoa wanaona wanafundishwa kazi.
   
 5. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,402
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Ndugu Watu, sidhani kama Solar power sikiwa bei rahisi na hata wananchi wa vijijini wakaweza kununua itakuwa ni kuchakachua mafuta!!!??

  Naomba Ndugu Watu, ufafanue zaidi.
   
 6. mchillo

  mchillo JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 424
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  You are right. Kwa maana serikali hii ya CCM melala usingizi wa pono na haifanyi lolote la maana mpaka CHADEMA waseme.
  Mimi pia naunga mkono pendekezo la kuwahimiza CHADEMA kupeleka agenda hiyo.
  Haiingii akilini kuwasikia vibaka hawa wakijigamba eti uchumi unakua kwa asilimia saba wakati nchi nzima ikiwa kwenye giza totoro, watoto wetu wanakaa chini - hawana madawati, na zipo shule zilizoezekwa nyasi hadi leo, shule hazina waalimu na wachache waliopo hawalipwi vyema. Kwa upande mwingine wenyewe wanajilipa posho ambayo kwa siku moja ni kubwa zaidi hata ya mshahara wa mwalimu wa mwezi mzima, wanaendesha magari ya fahari, na kusafiri bila kukoma; utadhani Sindbad!

   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,095
  Likes Received: 3,864
  Trophy Points: 280
  utamsikia mama akisema 'Mnyika kaa chini uko nje ya mada'...........................' ccm imeifanya nchi kuwa ngumu sana au ndo jehanamu kuko hivi, sijui
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  wazo ni kupigwa bakora kila mbunge kwa sababu ya kujipendelea ndo hali itakuwa angalau..
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Nini msimamo wa Chadema kwenye nishati?
   
Loading...