Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando

Wana JF nimepata wazo , kwanini tusianzishe radio JF..Tujimwageeeeee humooooo siku nzima na TV yetu...kwa raha zetuuu
WORRRRRRRDDDDDDD mkaliwakitaa, nakamilisha adhabu tu, teh teh teh! handolism imeniaffect, mzima weye?
 
Last edited by a moderator:
Anajikomba kwa wakubwa ili apewe cheo,anayejua profile yake tunaiomba tumjue na kumchambua vizuri huyo Gerald.
 
CloudsFM na Gerald Hando ni DHAIFU and that is all!
 
Alikua analilia ukuu wa wilaya kumbe yupo serious!
Clouds wanajikomba sana kwa kuandaa vishereha vya birthday za hao wadhaifu!
 
Bora kufa kuliko kusikiliza CloudsFM (waramba viatu wa ccm) yaani wameshindwa kusoma alama za nyakati
 
Hando kwanza sio Mtanzania na ninasikia anajipanga kugombea Ubunge,Khatesh ila kwa taarifa za kweli dogo analiwa kiboga na Mchumi Daraja la Kwanza

Heee makubwa!by the way,kweli wanakosea coz hawatakiwi kufungamana na upande wowote bali kutetea wananchi!ss wenyewe wanatetea matumbo!...mi huwa nackiliza uchambuzi wa mafazeti basi
 
ukitaka kula na mdhaifu na wewe jifanye mdhaifu so clouds wamejiiridhishia hilo siwezi shangaa
 
Kwani lazima usikilize Clouds FM. Mbona kuna Redio nyingi.
Mkuu, kweli sisi tumejitoa lkn maelefu wanaihusudu sana kwa maana hiyo ni vyema kutafuta mwarobaini kukomesha washenzi hawahasa ukitilia maanani kuwa tuko kwenye harakati za kulikomboa taifa. TV na Radio zao ni hatari kuliko ata TBS'Jamaa wanatafuta ukuu wa wilaya kwa gharama zote, wakoi tayari kuwa mashoga kaka!!!! Usisahau ant virus ya mr.2, kama huna nikutumie albam nzima ili huwajue vyema kaka.
 

Mkuu mimi naungana na wewe 100%, kuna watu waliopata nafasi ya kuwa kwenye vyombo vya habari na kuamua kutumia muda mwingi kufikiri mawazo yao tene yaliyojaa ubinafsi na ufisadi ndiyo mawazo yaliyo sahihi kuliko ya wenzao.

Kuna watangazaji wa radio hii ya clouds FM specificaly Kibonde, huyo geradl hando na wengine wanafikiri Taifa hili ni la CCM na wao. Hawa jamaa hata shule yenyewe ni ya kuunga unga sasa sijui wanakuwa wanaongea reference yao iko wapo.

Leo hii Madaktari wanataka kugoma eti kwa sababu serikali haitaki kurekebisha maslahi yao, waalimu wanataka kugoma kwa sababu serikali haitaki kurekebisha maslahi yao na kuwalipa malimbikizo yao halafu wanakuja wenda wazimu fulani eti bajeti ni Nzuri tena waonekane wanaoirekebisha kwa kupinga ni wendawazimu zaidi.

Leo hii ananakuja mtangazaji ambaye kimsingi anajua tu kusema maneno ya kiswahili anaanza kupingana na watalamu wa Uchumi, Sheria na mambo ya Mipamgo.

Hawa jamaa ni wapinza wa uhuru halali wa Watanzani na wapinzani wa wale wanaopinga matendo ya kifisadi... Mimi nashangaa sana wamekaa Maprofes UDSM, wanalalamika bajeti hii haina tija kwa watanzania kwani imeshindwa kutatua matatizo ya msingi ya watanzania, eti wanakuja hawa waliofeli na kuanza kufanya propaganda.

Kwa mimi mtu wa kawaida ninavyofahamu, mtangazaji anatakiwa kuwa neutral na kusikiliza wachangiaji wengi wanasema nini, sasa kwa hawa wao tu ndiyo wanaongea na kupiga kelele tangi asubuhi hadi jioni wakilazimisha eti mawazo yao ndiyo yako sahihi kumbe ni Pumba tu.
Haiwezeka watanzania wengi wakiwemo wataalamu wa Uchumi wanasema bajeti Mbaya kwa kutoa sababu na maelezo halafu wanakuja tu watu wawili from noware eti hakuna bajeti nzuri kama hii na kuwaponda wanaopinga kwa kutoa mawazo mbadala.

Kama alivyosema mchunga Peter mwesiga, Hawa ndiyo waliosababisha matatizo yaliyoko kwa makusudi kwa hiyo hawawezi kuwa solutions, watabaku kuwa matatizo tu.

Just imagine tokea lini mtu aliyepotea njia akawaelekeza wengine.

Problems cannot be solved by the same level of thinking that have created them, we need an alternative solution
 
Kwani lazima usikilize Clouds FM. Mbona kuna Redio nyingi.
Achaneni na radio ya wafu, sikiliza MAGIC FM, radio ya maajabu iga utepete.

Hili wimbi la waandishi wa habari kujipendekeza ili waonewe huruma kwa mishahara yao kiduchu na kupewa uDC dawa yake inakaribia, Katiba Mpya ndo dawa


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kweli mdomo uliponza kichwa!!! kwa kweli hata miye leo Hando kanikera mbaya!!!!!!!!!!!!!!
 
Tumsamehe jamani... Njaa mbaya..
 
Msicheze na njaa nyie.. sasa mnataka hando ale nini? mnafikiri clouds wanatosha kumlisha mjini?
 


Hando anaonekana hana thamani kwa kuwa amewaponda wabunge wa CHADEMA. Angewaponda WanaUAMSHO ungemsifu sana na kumuona wa maana. Hawa waandishi wetu wa habari mbona karibia wote ni watu wa kuharibu tu?!!! Lakini wanapowaharibia Waislam nyie ndio wa kwanza kuwasifu na kuwaunga mkono. Waandishi haohao wakiiharibia CHADEMA mnakuja juu na kuwaponda. Huu ni unafiki.
 
nilishaacha kusikiliza hicho kipindi na hiyo redio toka masudi kipanya aondoke hapo....siku hizi kimekuwa maarufu hicho kipindi?!!

baada ya amka na Bbc naingi kwenye uchambuz wa magazeti wa MORNING MAGIC,,,,THEN LABDA KWA KIPANYA(TYMZ EFU EMU)JAPO SI SAAANA
 
Lakini jamani, mbona nimemsikia akiwaponda waliomtunza pesa mwenzao alietumia lugha chafu? Hapo si amemlenga yule Mzinzi maarufu alietunzwa pesa na *************, Mzee wa Vijisenti vya Rada na wengineo, ingawa pia alimlenga Mnyika kwa kutaja kusindikizwa na maaskari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…