**Ujumbe kutoka JF au ni virus threat?** | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

**Ujumbe kutoka JF au ni virus threat?**

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIMING, Sep 26, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  MOds na admins, nimekuta ujumbe ufuatao wakati nasoma baadhi ya info humu ndani [copied as it was]

  Please advice
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  MOds na admins, nimekuta ujumbe ufuatao wakati nasoma baadhi ya info humu ndani [copied as it was]
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hiyo Kiswahili kama ya Kenya....mmhh mimi nimeiogopa.
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hawa watakuwa wa kule kule ukweni maana wamesha tutumia Raila Odinga Virus
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Unajua wiki kadhaa sasa kajamaa kangu ka voda kamekuwa kanajiconnect na ku-disconnect, sasa na baada ya kuona hivi leo nimeanza kuogopa

  I hope siyo mbaya sana
   
 6. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Leo nimepata e mail inayoonesha inatoka kwa webmaster wa jamiiforums ambayo ina utata,Admin naomba msaada kwenye hili! Check picture
  Inasema hivi..

  Isijekuwa tayari watu washaanza kuchukua advantages


   

  Attached Files:

 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unajua ilipo tokea tu nikawasiliana na Melo fasta akaweka sawa mambo hata mm niliogopa sana nikajua duh tutaanza kuliwa nini? Lakini Melo kamaliza kwikwi yote.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu, ila MAx nae ni kamanda wa kufa mtu!!! sijui analala sa ngapi!!
   
 9. BabaBabuu

  BabaBabuu Member

  #9
  Sep 26, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  sorry guys huo ujumbe nilitumiwa mimi kwenye gmail yangu kutoka webmaster@jamiiforums.com, ikiwa na subject JAMII FORUMS PLEASE HELP US ikiambatana na hayo maelezo ya kuanzia kwenye hiyo link. nilikua nam-PM maxence ili anifafanulie kidogo kwa kumpa hiyo email kama ilivyo ndo yakatokea hayo matatizo
  samahani wakuu kwa usumbufu uliojitokeza
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu mi naona kama Mungu angekuwa anasema tumpigie kura mtu mwama basi Max angeongoza lakini kuna watu wana enjoy humu hawajui Max ni nani. Mungu amzidishie Max anafanya kazi kubwa na ngumu ya kujitolea watu tupate habari hii kwa MTZ wa kawaida ni ngumu kupata.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa, JF ni source ya kila jambo kwa mtanzania wa kawaida... kuanzia siasa, uchumi, intelligencia, michezo, udaku, mapenzi, mambo ya kikubwa na kadhalika

  Thanks mods na admin kwa kurekebisha kipanzi kilichoingia
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ahsante sana mkuu,

  Ilinitisha sana hadi nikaamua kulikimbia jamvi haraka sana. Nashukuru sana mod na wenzake kwa kuturudisha tena hewani. Nilishaanza kuogopa kuwa ka-inzi kamapigwa ambush na makachero wa mafisadi. Long live JF, an indispensable partner!
   
 13. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Nakumbuka sikumoja alisema hivi:

  I see, ni mara ya kwanza naleta tatizo langu kwenu wakuu.

  Nina matatizo ambayo nahitaji ushauri wa haraka au wa kina ikiwezekana,.

  Najisikia uchovu wa hali ya juu... Najisikia kuacha kila aina ya kazi... Natamani kupumzika japo siku tatu tu niweze kurejea katika hali yangu ya kawaida.

  Ugumu:

  Nahitaji kuzima simu, kuwa mbali na pc kuwa mbali na familia yangu kabisa na kukaa alone kwa muda huo.

  Si rahisi kuwambia familia kuwa nawaacha kwa muda huo, nahisi watajisikia vibaya.

  Si rahisi kukaa mbali na JF, nikifanya hivyo nafsi inakuwa inanisuta all the times.

  Si rahisi kuwaacha kwenye mataa makampuni manne ambao wameniajiri na kazi zao kulala siku moja kwao wanaona kama ndo mwisho wa makampuni yao (ilhali kuna wataalam wengi lakini wananikomalia).

  Sina hamu na pesa zao hata kama wanasema wanavunja mkataba nami kwani mwili hauwezi kuvumilia hali niliyo nayo kwa sasa... Yani niko tayari kuacha na kupumzika liwalo na liwe.

  Mbaya zaidi:

  Nikiwa naendesha gari natamani kutokanyaga hata mafuta wala breki kwani nahisi vinanichosha mwili tu, nikiwa mbele kwenye foleni ya magari najikuta nimekuwa mwingi wa mawazo hata taa zikiruhusu nisipopigiwa kelele na wenzangu kushtukia inakuwa tatizo.

  Je, wakuu nifanye nini???  Jamaa kweli kamanda maana hii haikuwa isue yakuwa fixed haraka kama ilivyofanywa, maana isue kama hii iliwahi kutokea mwananchi.com ilidumu kwa muda wakutosha.
   
 14. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,459
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  mkuu hata mimi nilikutana na hiyo ki2 ila sijajua nini kilitokea
   
 15. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #15
  Sep 26, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ni watu wameshachukuwa advantage hapo , hii post imewekzwa zaidi ya saa 3 hapa bila uongozi wa jf kuangalia wala moderator wa forum hii ya ict inaonyesha kuna kasoro hapa , forum inayotembelewa na watu wengi kama hii inatakiwa iwe na watu wa kutoa taarifa mapema kama hiyo imetumwa kwa watu zaidi ya 1000 inamaana kuna ambao watakuwa wameshalizwa kwa namna moja au nyingine
   
 16. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #16
  Sep 26, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Wakuu najua kwa namna moja ama nyingine mmepata usumbufu wa takribani dakika 120 na ushee hivi kwa kukutana na ujumbe ambao huenda haukueleweka kwa wengi na ulikuwa si mzuri.

  Kuna mtu kajaribu kufanya alichofanya na kukifanikisha kwa muda mfupi huo amewatumia emails walio wengi na kuambatanisha link anayodai haina virus hata kama inaelekea ina virus. Ukweli link hiyo si salama kabisa!

  TAHADHARI: Usibonyeze link hiyo (DO NOT CLICK IT) kwani si salama. Haijatumwa na uongozi wa JF na wala hatuombi michango kwa njia ya barua pepe!

  Aidha, namshukuru mkuu Fidel80 kwa kunifahamisha juu ya kilichokuwa kinaendelea na kusababisha nigeuze gari haraka na kurudi ofisini kuchukua hatua haraka.

  Tunaomba endapo wanachama mnakumbana na jumbe ambazo hazieleweki tuwasiliane aidha kwa njia ya barua pepe ama kwa simu moja kwa moja ili hatua za haraka na za makusudi zichukuliwe kushughulikia tatizo.

  Tatizo hili limetatuliwa na tunaahidi kuhakikisha halitokei tena na kuomba ushirikiano wenu katika kutufahamisha juu ya matukio kama haya. Poleni kwa usumbufu uliojitokeza na nirudie kuwatahadharisha kutobonyeza links zozote zilizoambatana na email ya awali.

  Tutawaandikia email baadae lakini kwa uungwana tumeona ni vema kuwafahamisha kuwa tatizo tumeliona na kulichukulia hatua na kuwaomba radhi kwa usumbufu pia kuwahadharisha na kubonyeza link iliyoambatanishwa kwenye barua pepe hiyo.


  UJUMBE HUU UMENUKULIWA KUTOKA HAPA!
  THIS IS A COPY OF MESSAGE POSTED HERE!
   
  Last edited by a moderator: Sep 27, 2009
 17. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  I also got hii kitu! to me it appeared fake enough to be ignored!
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  duh! wakulu hata mi niliikimbia JF mida ya asubuhi manake ilikuwa nikigonga hivi hola nakutana na ujumbe, kwa uzoefu wangu nikajua hili changa la macho tu,,

  mkuu Fidel umefanya la maana kumwambia Max chap chap walau sasa libeneke linaendelea.

  Sasa ilikuwa kirusi ama ni nini?
   
 19. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mi nadhani ni jamaa wanaojifunza kuhack websites....But thanks Max kwa kulitatua hilo tatizo
   
 20. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #20
  Sep 26, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Na mimi niliukuta ila sijaelewa maana yake!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...