Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,288
- 793
I also got hii kitu! to me it appeared fake enough to be ignored!
best reply
I also got hii kitu! to me it appeared fake enough to be ignored!
Nakumbuka sikumoja alisema hivi:
I see, ni mara ya kwanza naleta tatizo langu kwenu wakuu.
Nina matatizo ambayo nahitaji ushauri wa haraka au wa kina ikiwezekana,.
Najisikia uchovu wa hali ya juu... Najisikia kuacha kila aina ya kazi... Natamani kupumzika japo siku tatu tu niweze kurejea katika hali yangu ya kawaida.
Ugumu:
Nahitaji kuzima simu, kuwa mbali na pc kuwa mbali na familia yangu kabisa na kukaa alone kwa muda huo.
Si rahisi kuwambia familia kuwa nawaacha kwa muda huo, nahisi watajisikia vibaya.
Si rahisi kukaa mbali na JF, nikifanya hivyo nafsi inakuwa inanisuta all the times.
Si rahisi kuwaacha kwenye mataa makampuni manne ambao wameniajiri na kazi zao kulala siku moja kwao wanaona kama ndo mwisho wa makampuni yao (ilhali kuna wataalam wengi lakini wananikomalia).
Sina hamu na pesa zao hata kama wanasema wanavunja mkataba nami kwani mwili hauwezi kuvumilia hali niliyo nayo kwa sasa... Yani niko tayari kuacha na kupumzika liwalo na liwe.
Mbaya zaidi:
Nikiwa naendesha gari natamani kutokanyaga hata mafuta wala breki kwani nahisi vinanichosha mwili tu, nikiwa mbele kwenye foleni ya magari najikuta nimekuwa mwingi wa mawazo hata taa zikiruhusu nisipopigiwa kelele na wenzangu kushtukia inakuwa tatizo.
Je, wakuu nifanye nini???
Jamaa kweli kamanda maana hii haikuwa isue yakuwa fixed haraka kama ilivyofanywa, maana isue kama hii iliwahi kutokea mwananchi.com ilidumu kwa muda wakutosha.
Ni watu wameshachukuwa advantage hapo , hii post imewekzwa zaidi ya saa 3 hapa bila uongozi wa jf kuangalia wala moderator wa forum hii ya ict inaonyesha kuna kasoro hapa , forum inayotembelewa na watu wengi kama hii inatakiwa iwe na watu wa kutoa taarifa mapema kama hiyo imetumwa kwa watu zaidi ya 1000 inamaana kuna ambao watakuwa wameshalizwa kwa namna moja au nyingine
MOds na admins, nimekuta ujumbe ufuatao wakati nasoma baadhi ya info humu ndani [copied as it was]
Please advice