kelvin baraka
Member
- Sep 7, 2016
- 39
- 11
Me sijaona hiyo not found ila mpaka mudawa mwisho niliangalia system inasema stil inprocess,ila mpaka saiv haifunguki hata kulog in haiwezekani, so! tatizo itakua nn aseee?Acha kuleta utani kwenye mambo ya serious sisi wenyewe hapa ni not found halafu unatupa presha tena
Kwan hukuingiza namba yako ya f4?Me sijaona hiyo not found ila mpaka mudawa mwisho niliangalia system inasema stil inprocess,ila mpaka saiv haifunguki hata kulog in haiwezekani, so! tatizo itakua nn aseee?
Leo asubuhi nilikua naingiza index no nakuta ujumbe unaosena stil in process baadae mchana nikajaribu hata page yao haifunguki mpaka muda huu.Kwan hukuingiza namba yako ya f4?
Sio ww tu mkuu yan weee acha tuLeo asubuhi nilikua naingiza index no nakuta ujumbe unaosena stil in process baadae mchana nikajaribu hata page yao haifunguki mpaka muda huu.
Kama kuna ambae amepata kuona na bado anaona kajibiwa basi atume scr shot ya hicho kinachoonekana ili watu msifike mahala mkaonana hamfaani.Lakini mkuu mbona kuna watu waliona kabisa wamechaguliwa lakini baada ya mda tena kuangalia wakaona"NOT FOUND".
Wala tusijipe homa mwisho wa siku watatoatu ili walo kosea wombe upya kama barua yao wolio chapisha,kuna muda utafika vitu vitakua wazi.Sio ww tu mkuu yan weee acha tu
Second round hamna kuprint unaacha hvo hvo.habari za kwenu? naomba kuuliza, nimefanya application 2nd round na ninataka kuprint selected programmes lakini kila navyojaribu kufanya hivyo nakutana na ujumbe 404 page Not Found. so mwenye ufahamu wa hii kitu anijuze tafadhali
ok asanteSecond round hamna kuprint unaacha hvo hvo.
Thnk u2ok asante
Ni muhimu kutunza printed program maana mi sijui nilipoiwekaok asante
Sio muhmu Sana, cha umuhmu sana n kukumbuka taarfa zakoNi muhimu kutunza printed program maana mi sijui nilipoiweka