Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,297
- 10,981
Mbn mm wananiandkia kuwa mfumo wa udahli umefungwa yaan maneno hyajabdlika? Nimekosa chuo nnWote mliokutana na hili neno msipagawe...
May be TCU hawajamaliza kuingiza data za Applicants wote..!
Nani anajua..?
Pia je,TCU wameshatoa official announcement kuhusu utayari wa results za first round..?
Punguzeni pressure bin wenge..!
Jipe moyoWote mliokutana na hili neno msipagawe...
May be TCU hawajamaliza kuingiza data za Applicants wote..!
Nani anajua..?
Pia je,TCU wameshatoa official announcement kuhusu utayari wa results za first round..?
Punguzeni pressure bin wenge..!
Kama unamatokeo ya kueleweka wala hautakiwi kuwa na uwoga...Tcu not found ni hatareee omba isikukutee
JIFARIJIWote mliokutana na hili neno msipagawe...
May be TCU hawajamaliza kuingiza data za Applicants wote..!
Nani anajua..?
Pia je,TCU wameshatoa official announcement kuhusu utayari wa results za first round..?
Punguzeni pressure bin wenge..!
Mambo mazuri wala hayahitaji haraka..!!!
Wewe chokho nini..!?
Huyo dogo hana ADABU...Mkuu mbona kama umepanic sana?!
Mambo yatakaa sawa tu,wala usijali
Matokeo sio tatzo hainaga kueleweka hapoKama unamatokeo ya kueleweka wala hautakiwi kuwa na uwoga...
Sema tatizo wenzenu walioona na wengine ambao sio applicants wanaleta UJINGA wa kuwatisha..!
Nyie msiwe na wasiwasi leo watafungua system then wote mtapata nafasi ya kuona kama mmepata vyuo au hamjapata..!
Hilo ndo tatizo,kikubwa uvumilivuHuyo dogo hana ADABU...
Yeye anafikiri wote tunaochangia na kuanzisha thread za kuwatoa UWOGA wadogo zetu ni Applicants...
Yeye hajui kama wengine tulishapita huko muda mrefu..!
ha haha haka kamchezo hakahitaji hasiraMkuu mbona kama umepanic sana?!
Mambo yatakaa sawa tu,wala usijali
Doh..!sawa mi kitobo,ila TCU NA BODI NDIO WATAJUA KWELI WEWE NI NOT FOUND
ππππππππππππππ
hahahahahasio uniache,we subiri kiama