Ujumbe huu wa Makonda unamlenga nani?

Ujumbe huu wa Makonda unamlenga nani?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
Kwenye hio clip anasema

" La nne ni kwa wale ambao mnafikiri mna vyeo vikubwa kuliko mimi, mjifunze kuwa na nidhamu kidogo nawazidi vitu vingi sana na hatulingani. Unaweza ukawa tunalingana kwa umri tumekuwa pamoja ba tumesoma pamoja lakini NAKUZIDI SANAA, kwa hio kidogo uwe na nidhu na wakubwa zako wananitambua."
Mwisho wa kunukuu.

Sasa swali langu ni kuwa huu ujumbe umemlenga nani?
 
Kwenye hio clipa anasema

Ni ushamba tu ,dunia ni moja kuna rais sio mkuu wa mkoa alitunguliwa kwenye parade ya kumsifu.ni miaka ambayo Tanganyika ya Nyerere ilishakuwa huru na Si stori za Musa wa ISrael

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simpendi huyu jamaaaa

Back
Top Bottom