MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
Wanajua sana nini alifanya mchungaji ila wanajifanya viziwi
Vp hvi ile fani uganga wakienyeji ulirithi au ulikua ni ule utapdmli wa mjin?
Wanajua sana nini alifanya mchungaji ila wanajifanya viziwi
Eti rambirambi ziko wapi ?
Nilijifunza kiaina tu kama Msigwa..Vp hvi ile fani uganga wakienyeji ulirithi au ulikua ni ule utapdmli wa mjin?
Nilijifunza kiaina tu kama Msigwa..
Soma, tafakari, na ujue nini unachotaka.
JITAMBUE!
Wanajua sana nini alifanya mchungaji ila wanajifanya viziwi
Nikikusoma popote ninakumbuka Rambirambi za Marehemu Mwangosi.
Soma, tafakari, na ujue nini unachotaka.
JITAMBUE!
Nasikia na za Mgimwa katia kibindoni...