Ujumbe huu kwa wafuasi wa CHADEMA, please read

Jambaz wa tembo huyo, huku arusha huwa akija anakuja kwa kujificha sn, maana alipewaga jina lake kbs, Tembo kaa mbali na Kinana!!
 
Soma, tafakari, na ujue nini unachotaka.
1891261_597570150317904_1107777434_n.jpg

JITAMBUE!
Kinana 2.jpg
 
Sipendi uandishi wa chris lukosi, lizabon na simiyu yetu. Inachosha akili kila siku kushambulia chadema si kweli kwamba kila kukicha chadema wanatenda hovyo hovyo tu. Tendeeni haki nafsi zenu la sivyo siku ya kiama mtegemee moto.
 
Soma, tafakari, na ujue nini unachotaka.
1891261_597570150317904_1107777434_n.jpg

JITAMBUE!

Nakubali kazi ya ccm ni kutenda tumeona walivyomtenda Kolimba,walivyomtenda Kigoma Malima, walivyomtenda Nyerere, walivyoitenda Epa, waliyotenda katika mkutano wa kufunga kampeni za chadema Arusha, walivyomtenda Mwangosi, walivyomtenda Kibanda, walivyowatenda wananchi wasio na hatia katika operesheni tokomeza ujangiri, walivyowatenda Twiga waliopelekwa uhamishoni, na mengine mengi mabaya wametenda
 
ninawasiliana na INTERPOL ili wamdake huyu jamaa ahojiwe kuhusiana na rambirambi za mjane wa MWANGOSI pamoja na ule mradi wa baiskeli za wizi , hatuwezi kuwa tunashirikiana jukwaa na MTU ASIYEAMINIKA , huu mwaka lazima adakwe tu , potelea mbali ! Heri lawama kuliko fedheha !
 
Kazi ya kuleta maendeleo wameiona ngumu sana! Wanathibitisha kuwa wameshindwa kazi waliyoomba!

Hii ni sawa na kuhalalisha wizi wa Rasilimali za taifa; kudumisha umaskini; huduma dhaifu za kijamii (afya, elimu, n.k), kuua viwanda, miundombimu dhaifu mijini na vijijini, n.k.
Hii ni sawa na kuwaambia wananchi 'kazi mliyotupa ni ngumu sana; ngoja Tufanye tunachokiweza vizuri ambacho ni kujineemesha sisi na familia zetu. Tumeshindwa kubadilisha hali zenu kwani mpo wengi sana lakini oneni jinsi sisi tunavyoweza kubadili maisha yetu ndani ya muda mfupi'......
 
Nasikia mkuu wako ameanza kusafirisha meno ya ngiri mashariki ya kati baada ya kuwamaliza tembo!
Kwa mwendo huu si hata pua za shwain mtasafirisha?
 
Soma, tafakari, na ujue nini unachotaka.
1891261_597570150317904_1107777434_n.jpg

JITAMBUE!

Ulikuwa mzungu wa unga baada ya kufanikiwa kuuza unga bila kukamatwa ikabidi utumie njia ya kufungua Serengeti ili uweze kuhalalisha pesa za unga bila kugundulika zimetoka wapi. Mliokuwa mnafanya nao biashara wameanza kutupa ndogo ndogo na wenye mali wanaanza kutapatapa. Ngoja tusubiri 2015/16 tuone hali yako itakuwaje nafikiri itakuwa wakati muafaka wa kumwaga mboga. Kwani kwasasa hata nikimwaga mboga hakuna hatua zozote zitakazochukuliwa. Time will tell, watch me
 
Back
Top Bottom