Mwisenge1993
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 900
- 573
Ila ukweli usemwe wachaga mmeibia sana hii nchi mkishilikiana na CCMI am not very much sure if you have understood what Mr tangata has written. It appears you have a problem with uchaga. Do you want to tell us that it's only chagas who corrupted this nation? Was CCM run by chagas? What about the Gvt houses? Was that also done by chagas? Achana na ukabila wewe nchi hii ni ya watz wote. Vipi faru john naye wachanga?
Kweli kabisa lakini ni matamanio yangu tuache kujadili watu bali tujadili issues,kati ya vitu ambavyo kiongozi yeyote anatakiwa kufanya ni kubadili jinsi watanzania wanavyofikiriTayari na wewe ushajadili mtu
Badilisheni hii chorus jamani imetuchosha,yaani kila wimbo mnaitupia lolHivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
NANI AIJUAYE KESHO ?
[emoji117]Mwaka 1985 Huko Nigeria, Dasuki alimkamata Buhari.
[emoji117]Mwaka 2016, Buhari alimkamata Dasuki.
[emoji117]Mwaka 1995, Al Mustapha alimkamata Obasanjo kwa amri ya General Abacha.
[emoji117]Mwaka 1999, Obasanjo alimkamata Al Mustapha na kufungwa jela kwa miaka 8.
[emoji117]Mwaka 2005 nchini Spain, Diego Simeone alikuwa chini ya Fernando Torres. Torres alikuwa nahodha wa timu licha ya kuwa mdogo mbali kuliko Simeone; lakini alifanya kile Torres amemuamuru.
[emoji117]Mwaka 2016, Diego Simeone sasa ni kocha wa Fernando Torres. Torres sasa anafuata amri kutoka kwa Simeone.
[emoji117]Miaka ya 90 chini ya Serikali ya Rawlings Dk Spio Gabriel alikuwa waziri wa mawasiliano na John Mahama alikuwa makamu wake.
[emoji117]Leo John Mahama ni Rais na amemuajiri bosi wake wa zamani kama waziri.
[emoji117]Maisha ni kama sarafu iliyorushwa juu hewani. Kwa kweli huwezi tabiri upande itakayo angukia.
[emoji117]Hakuna mtu anakaa juu milele. Ni suala tu la muda na Msimu.
[emoji117]Yule Mtu uliyemdharau / kuwadharau / kuwatendea kama uchafu na kujifanya kama Mungu kwake leo, anaweza kuwa na udhibiti/kuendesha maisha yako /Elimu au kuokoa kichwa chako kesho. Hakuna aijuaye Kesho!.
[emoji117]Mtendee kila mtu kwa heshima na kuonesha baadhi ya wema kwa sababu siku zote kutakuwa na kesho. Kuwa mwema kwa wote.
[emoji117]Mtu Mkubwa au Tajiri leo, anaweza kuwa Chini au maskini kesho kwa sababu hakuna kitu cha milele katika maisha.
[emoji117] DAIMA TUMIA MADARAKA NA NAFASI YAKO kwa uangalifu na kwa faida ya wote.
[emoji117]Daima simamia kwenye kile kilicho cha haki, na halali.
Kama Mugabe alivyosema: *"Tumia kila upande wa taulo kwa uangalifu kwa sababu sehemu hiyo hiyo iliyotumika katika kusafisha matako yako leo, inaweza kuwa sehemu hiyo hiyo utatumia katika kusafisha uso wako kesho."*
TUKUMBUKE KWAMBA.
MATENDO BILA FADHILA NI BURE , KUSUDIO LETU KUU KATIKA MAISHA NI KUWASAIDIA WENGINE NA KAMA HUWEZI KUWASAIDIA, ANGALAU USIWAUMIZE.
@ Justin Mwanshinga
Inamaana kiongozi ukiiba tuache kukujadili?Kweli kabisa lakini ni matamanio yangu tuache kujadili watu bali tujadili issues,kati ya vitu ambavyo kiongozi yeyote anatakiwa kufanya ni kubadili jinsi watanzania wanavyofikiri
Hukosekani!!!!!Duh!!!
Kumjadili sizonje ni SAWA na kumtukana/Kumjaribu.Inamaana kiongozi ukiiba tuache kukujadili?
Tuache tu asifiwe hata kama ni sifa za kijingaKumjadili sizonje ni SAWA na kumtukana/Kumjaribu.
Ya yeye atayajua ajaye, kwa sasa tumuache ainyoshe Tanganyika.Yeye hakuiba rasilimali za umma tangu enzi za Mkapa hadi za Kikwete?
Usiangalie yeye alifanya nini kipindi hicho, wewe angalia nini anafanya sasa nini kwa sasa hususani katika maendeleo ya Taifa.Yeye hakuiba rasilimali za umma tangu enzi za Mkapa hadi za Kikwete?
Sasa kama TZ ilijaa wezi hadi serikali hii ya awamu ya 5 ikaamua kuunda mahakama ya mafisadi.Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
Achana na mpuuzi usije na wewe ukapuuzika.Hivi huwezi kuchangia bila ya kutaja kabila la mtu?
Ukimsifu mjinga unakuwa senior wake.Hahahahaaaaaa Gujalati,we baniani au?maana kuna jimbo moja huko India linaitwa Gujarati,umewapasulia mawimbi kama muziki wa Darassa,pasua anga weka muziki.
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
Sawa mkubwa,basi niache kumsifu nisije kuwa senior au principal wake, haya in mawazo yake ametoa,ujue kuwa haiwezekani watu wote mawazo yakafanana kama wewe unavyotaka mawazo ya wengine yafanane na yako.Ukimsifu mjinga unakuwa senior wake.
Waacheni warudi wako kwao wanakula festival season. Nyie kaeni magomeni gangeni njaa.wachagga ndio wezi wakubwa wa rasilimali za nchi