Ujumbe: Hakuna aijuaye Kesho...!

I am not very much sure if you have understood what Mr tangata has written. It appears you have a problem with uchaga. Do you want to tell us that it's only chagas who corrupted this nation? Was CCM run by chagas? What about the Gvt houses? Was that also done by chagas? Achana na ukabila wewe nchi hii ni ya watz wote. Vipi faru john naye wachanga?
 
Ha ha haa,huyu jamaa anachuki sana na wachaga,ungekua ww ni Mungu nadhani ungewaua wote kwa roho mbaya Uliyonayo
 
Ujumbe mzuri,mzuri sana!!nikitizama issue ya Lema nawaza mengi sana.
 
Wachaga wamekufanya kitu mbaya wewe, kuna namna hapa sio bure, hili povu sio la nchi hii. wamekufanya nini hebu tujuze ndugu yangu?
 
Hili la kujenga uwanja Chato vipi nalo?
 
Kumbe mnafahamy kuwa kuna wezi wa rasilimali kwann msiwakamate kuna mahakama ya mafisadi washtakiwe?

Najua una hasira ukipowa njoo nijibu
 
Labda tu kama pua zake zinatizama juuuuu
Magufuli anawanyima raha sana,natamani tungekuwa tunajadili masuala na sio watu maana hii tabia ya kujadili na kushambulia watu iliicost CDM uchaguzi uliopita kwa sababu walikuwa wamemshambulia mamvi vya kutosha,tuache kujadili mtu
 
Mbona wabunge ccm wamelamba bil 2.7 za serikali kama rushwa wapitishe muswada ila kimya na mahakama haina wateja?Mambo ni yaleyale katika sura mpya!Escrow sasa uchunguzi umefikisha miaka 2,yeye anasema hafukui makaburi,shwain,jinai ina ukomo?
 
Magufuli anawanyima raha sana,natamani tungekuwa tunajadili masuala na sio watu maana hii tabia ya kujadili na kushambulia watu iliicost CDM uchaguzi uliopita kwa sababu walikuwa wamemshambulia mamvi vya kutosha,tuache kujadili mtu
Tayari na wewe ushajadili mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…