Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,111
Historia nyingi za mzungu huwa ni tunamezeshwa matango pori ila ukwel huwa upo nyuma ya pazia1. Hitler alipiga marufuku pombe
2. Hitler alitoa huduma bure za afya bure kwa akina mama wajawizito
3.Hitler alipiga marufuku riba (Usury)
4.Hitler zaidi ya mara mbili anaitaka Uingereza waingie katika mkataba wa amani lakini uingereza inakataa
5. Hitler alikuwa askari jasiri wa kijerumani katika vita ya kwanza ya dunia
6.Hitler alichukia kitendo cha Mazionists wa Ujerumani "kuwazunguuka" Wajerumani na kufunga mkataba wa siri na uingereza ili kuwatumia Mazionist walioko Marekani kuishawishi serikali hiyo iingie katika vita upande wa Uingereza kitendo kilichosababisha Ujerumani ipigwe wakati ilikuwa inakaribia kushinda vita hiyo
7. Hitler mwaka 1938 aliwekwa kwenye Gazei la TIMES kuwa Person Man of the Year
Historia nyingi za mzungu huwa ni tunamezeshwa matango pori ila ukwel huwa upo nyuma ya pazia
Refer gadafi, idd amin, sadam hussein nk
13SEPTEMBER
Mfanye tu awe lol model wako mkuu!1. Hitler alipiga marufuku pombe
2. Hitler alitoa huduma bure za afya bure kwa akina mama wajawizito
3.Hitler alipiga marufuku riba (Usury)
4.Hitler zaidi ya mara mbili anaitaka Uingereza waingie katika mkataba wa amani lakini uingereza inakataa
5. Hitler alikuwa askari jasiri wa kijerumani katika vita ya kwanza ya dunia
6.Hitler alichukia kitendo cha Mazionists wa Ujerumani "kuwazunguuka" Wajerumani na kufunga mkataba wa siri na uingereza ili kuwatumia Mazionist walioko Marekani kuishawishi serikali hiyo iingie katika vita upande wa Uingereza kitendo kilichosababisha Ujerumani ipigwe wakati ilikuwa inakaribia kushinda vita ya kwanza ya Dunia
7. Hitler mwaka 1938 aliwekwa kwenye Gazei la TIMES kuwa Person Man of the Year
I hate a 'Religious fanatisim' bcz it deprives man from reasoning........Huyo alipata laana baada ya kuwadhambulia wana wa taifa teule la Israel
Hakujua kuwa kupambana na Israel ni kupambana na Mungu
God first
Huyo alipata laana baada ya kuwadhambulia wana wa taifa teule la Israel
Hakujua kuwa kupambana na Israel ni kupambana na Mungu
God first
I hate a 'Religious fanatisim' bcz it deprives man from reasoning........
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana, nilishindwa hata kuendelea kuisoma post yake.I hate a 'Religious fanatisim' bcz it deprives man from reasoning........
Sent using Jamii Forums mobile app
"lol model" - role model.
Ni sawa tu mkuu mie sio mzungu na nikakosa neno sahihi la kiswazi!"lol model" - role model.
1. Hitler alipiga marufuku pombe
2. Hitler alitoa huduma bure za afya bure kwa akina mama wajawizito
3.Hitler alipiga marufuku riba (Usury)
4.Hitler zaidi ya mara mbili anaitaka Uingereza waingie katika mkataba wa amani lakini uingereza inakataa
5. Hitler alikuwa askari jasiri wa kijerumani katika vita ya kwanza ya dunia
6.Hitler alichukia kitendo cha Mazionists wa Ujerumani "kuwazunguuka" Wajerumani na kufunga mkataba wa siri na uingereza ili kuwatumia Mazionist walioko Marekani kuishawishi serikali hiyo iingie katika vita upande wa Uingereza kitendo kilichosababisha Ujerumani ipigwe wakati ilikuwa inakaribia kushinda vita ya kwanza ya Dunia
7. Hitler mwaka 1938 aliwekwa kwenye Gazei la TIMES kuwa Person Man of the Year
Hadi idi amin mzee ni matangopori ?Historia nyingi za mzungu huwa ni tunamezeshwa matango pori ila ukwel huwa upo nyuma ya pazia
Refer gadafi, idd amin, sadam hussein nk
13SEPTEMBER
Sawa kabisa Hitler aliiokoa Ujerumani lakini kwa gharama zipi: Kusababisha vifo na mateso kuanzia Ulaya hadi Afrika. Kiufupi Hitler alikuwa ni beberu kama wenzake wa Uingereza na Ufaransa ambao walikuwa na lengo la kutawala na kunyonya nchi za wenzao kimabavu.After WWI kwa vikwazo alivyowekewa ujerumani kama sio Hitler ujerumani Ingekua nchi ya kiboya sana hasa kiuchumi, wajerumani wengi sana wanaendelea kumchukulia Hitler ni mtu muhimu kuwahi kutokea kwenye nchi yao japo wanasheherekea Nazi party kwa siri sana.. Uimara na nguvu iliyonayo ujerumani leo hii inatokana na misingi ya yule mwanaume Hitler.
Hitler was a saddist. Hivi kuwaua wale watu wa kijipsei nayo ilikuwa na ulazima wowote ule kweli ?? Yale majaribio ya binadamu ambayo Joseph Mengele aliyafanya ya kukata viungo nayo yalikuwa ni uzalendo kwa nchi yake ??
Kama mkataba wa amani Adolf Hitler alifanya mkataba wa amani hadi na Urusi mwaka 1949 (The Non-Aggression Pact) lakini baadae akaamua kuuvunja na kuvamia Urusi ili ateke visima vya mafuta kule Caucases akitegemea vitamsaidia kuendesha mtambo wake wa vita.
Hitler alikuwa ni dikteta aliyezivuruga Ujerumani na Austria kwa kupitia falsafa yake ya Unazi. Wasomi walikuwa hawaruhusiwi kupinga chochote cha serikali na kulikuwa hakuna uhuru wa vyombo vya habari. The Gestapo walikuwa wanaua watu wanaiokosoa serikali hadi ikafika kipindi mume na mke hawaaminiani kabisa.
Kibaya zaidi ni kwamba Hitler alikuwa ni mtu mwenye akili za kibeberu (Imperialistic) kama wenzake. Hakusababisha matatizo kwa wazayuni ambao walikuwa ni maadui zake bali hata wale wasiohusika. Hivi alivamia Chzechslovakia na Poland kwasababu zipi ??