Hizo sayari nyingine umewahi kuziona ? Kama umewahi kuziona umeziona kupitia njia gani ? Ya ana kwa ana.Hata kama ulikuwa unajaribu kumconvis mtu akuamini akifika hapa anaghair.
Kama ni kinyume kipi kinafunya wewe uamini uwepo wa sayari hizo ?
Mkipata muda fatilieni ishu za CGI muone watu walivyo fika mbali katika kuvipa vitu vya kufikirika uhalisia.