ujue mwezi wa nane

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
625
302
ni mwezi ambao watu wengi hupoteza kazi, yaani hufukuzwa au huachishwa au husimamishwa kazi
hivyo basi tuwe makini na kazi ni mwezi hatari sana, hautaisha bila kusikia habari za mtu kufukuzwa kazi
angalizo; tuwe waminifu na kazi
lakini simlazimishi mtu kuamini
 
Duuuuuuuh! Asante lakini nahisi umepata ushauri kwa prof: maji mafupi
 
Hata mie nadhani hivyo my dear watu8 manake huo utabiri shughuli

mama hebu nambie, mbna anatutisha huyu? kuna sekeseke ofcn kwetu na huenda kuna watu wataachishwa kazi. ukiunganisha dots kuna kajiukweli lol. . .
 
Last edited by a moderator:
ni mwezi ambao watu wengi hupoteza kazi, yaani hufukuzwa au huachishwa au husimamishwa kazi
hivyo basi tuwe makini na kazi ni mwezi hatari sana, hautaisha bila kusikia habari za mtu kufukuzwa kazi
angalizo; tuwe waminifu na kazi
lakini simlazimishi mtu kuamini

asante mkuu, unaweza kutupa sababu ni kwanini huwa inatokea?
 
asante mkuu, unaweza kutupa sababu ni kwanini huwa inatokea?

kwa kifupi sijajua kiundani ni kwa nini hasa, lakini fuatilia kwa makini utanipa jibu, na ninakuhakikishia hauta isha mwezi huu lazima utasikia watu kuachishwa kazi kama sio kwenye radio, tv, magazeti, au kusikia live nk
 
Usitutishe walimu

walimu tena ndo nawapa pole, najua madai yenu ya msingi muwe mnaomba ushauri, nyie mnakurupuka tu,imemega kwenu wapo watao fukuzwa niamini mimi, serikali yetu haijali, ipo radhi hata tufe mkoa mzima il hali wanapata maslahi yao hawana shida......
ila ongezeni bidii liwalo naliwe au sio
 
nambie, mbna anatutisha huyu? kuna sekeseke ofcn kwetu na huenda kuna watu wataachishwa kazi. ukiunganisha dots kuna kajiukweli lol. . .

hao imemega kwao hata wasipo timuliwa washapoteza uaminifu,cha msingi we chapa sana kazi mwanzo mwisho ukuda ukuda utaona mwenyewe
 
Umeangalia mgomo wa walimu nini?
ni mwezi ambao watu wengi hupoteza kazi, yaani hufukuzwa au huachishwa au husimamishwa kazi
hivyo basi tuwe makini na kazi ni mwezi hatari sana, hautaisha bila kusikia habari za mtu kufukuzwa kazi
angalizo; tuwe waminifu na kazi
lakini simlazimishi mtu kuamini
 
tangazo la freemason.jpg

kumbe ni wewe nilikuona ukiingia hapo juu.
 
Kuna kaji ukweli hapo maana kama hapa kwetu MD wetu kafanya reshuffle hapa watu matumbo joto
 
Back
Top Bottom