Ujue mto Lukuga, mto wenye tabia zote mbaya, mto mwizi, mto jeuri, mto muuaji, mto hatarishi kwa kila aina ya mazingira

Mkuu unapinga sio nyoka na tornado ni nn? Au kwakua wazee wako waliita nyoka basi umeona ni myth lakini unakubali kinajiviringa kama nyoka .
 
Mkuu unapinga sio nyoka na tornado ni nn? Au kwakua wazee wako waliita nyoka basi umeona ni myth lakini unakubali kinajiviringa kama nyoka .
Hakuna sehemu nimepinga mkuu ila nimesisitizia kuwa kuna myth zinazosema bi nyoka na nikatolea mfano tulivyokuwa wadogo Moro. Nikasema, possibly hao majoko ndio spiritually yanaitwa Levithian au dragoni mkuu.
 
Upepo wa Rukuga Ni maarufu kwa wavuvi na wasafiri wa majini hasa Maboti ,madereva wanajua kabisa kila upepo na misimu yake.
#KigomatoKongo
 
Uongo. Mto huo hauchangii chochote katika kuchafuka kwa ziwa Tanganyika. Pia unatoa maji ziwa Tanganyika kwa maelfu ya miaka na ziwa lipo. Kupungua maji ziwani ni uchafuzi na uharibifu wa vyanzo vya maji, hasa huku kwetu Tanganyika.
 
huo mto haunitishi na nikipata nafasi ntakuja niyapigie punyeto maji ya mto lukuga ili mto uanze kuniita shemeji🤕🤕🤕🤕
 
Turian wanaita ngolo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mto malagarasi Tanzania, Lukuga Kongo
 
Kama mtu
Kama mto huu unapoteza maji ya ziwa Tanganyika kiasi hiko, ulianza lini na nini chanzo chake?
 
Uongo. Mto huo hauchangii chochote katika kuchafuka kwa ziwa Tanganyika. Pia unatoa maji ziwa Tanganyika kwa maelfu ya miaka na ziwa lipo. Kupungua maji ziwani ni uchafuzi na uharibifu wa vyanzo vya maji, hasa huku kwetu Tanganyika.
Uchafuzi upi unaofanywa ziwa Tanganyika
 
Nimejiuliza ssna hiyo.miezi yote watu hata kuvua samaki hawavui je wanaishije wavuvi wanaotegemea fukwe hizo?

Mtoa mada anatunywesha chai ya vitunguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…