Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 209
- 236
Salaam Wakuu.
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu especially vijana kujikuta wanajua kila kitu, kiasi kwamba tabia hii inachangia pakubwa kufifisha ndoto/matamanio yao pia tabia hii inadhoofisha mafanikio ya baadhi ya vijana wenye mtizamo tofauti na wenye uchu na mafanikio ya kweli.
Je, unazungumziaje tabia hii iliyokithiri miongoni mwa watu wengi hivi sasa?
Na unahisi nini kifanyike kupunguza tabia hii na kitachochangia ustawi bora wa vijana kifikra na matendo pia??