Hawezi kufufuka... Dunia ipo na itaendelea kuwepo Mkuu you come and go but the world stand stillSasa hapo ushahidi wa kuwa hakuna kinachoendelea ni upi?
Halafu vitu vingine ni vya ajabu,leo hatushangai habari ya ya manii kwa sababu tunajua taratibu zake hadi anapokuja kupatikana kiumbe na hadi kuzaliwa ila unasema haiwezekani binadamu huyo huyo aliyepatikana kwa manii kuwa hawezi kufufuka!!!
Wanaweza kufanya kazi but hawaamini moja kwa moja kuwa kazi ndo inayoendesha maisha yao rather wanaamini kwamba Mungu ndo kawapa hiyo kazi na ndio anaye i-control... Kikutwa cha kuelewa ni imani yao imelala wapi? Kwa Mungu au kazi wanazofanya kwa maendeleo yaoNimekuuliza kuna watu hawafanyi kazi wapo ndani wakimtegemea mungu? au wote wenye kuamini na wasio amini dini wanafanya kazi pamoja?
Kama unaamini waliyokufa hawawezi kufufuka basi sawa ila kinyume na hivyo lete ushahidi na ndiyo maana nilikuuliza ulishawahi kufa?Hawezi kufufuka... Dunia ipo na itaendelea kuwepo Mkuu you come and go but the world stand still
Vizuri sana kumbe wote wanafanya kazi iwe una dini au huna,sasa kama hivyo je tatizo ni nini kuamini hivyo wanavyo amini huku wakiendelea kufanya kazi kama kawaida?Wanaweza kufanya kazi but hawaamini moja kwa moja kuwa kazi ndo inayoendesha maisha yao rather wanaamini kwamba Mungu ndo kawapa hiyo kazi na ndio anaye i-control... Kikutwa cha kuelewa ni imani yao imelala wapi? Kwa Mungu au kazi wanazofanya kwa maendeleo yao
Reality.Mkuu hicho ulichoandika ni "facts" au ni "opinion" zako?
Ok,wewe si wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho.Bahati mbaya umekuja kipindi ambacho " nimeacha kupanda mbegu barabarani".Tafuta post zangu za nyuma inawezekana ukajifunza kitu.Reality.
Una uhakika kuwa ndio nimekuja wakati huu?Ok,wewe si wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho.Bahati mbaya umekuja kipindi ambacho " nimeacha kupanda mbegu barabarani".Tafuta post zangu za nyuma inawezekana ukajifunza kitu.
umaskini unaoletwa na hiyo imani ya dini..maskini kibao na bado wanaenda kutoka sadaka yani kujiongezea umaskini..Vizuri sana kumbe wote wanafanya kazi iwe una dini au huna,sasa kama hivyo je tatizo ni nini kuamini hivyo wanavyo amini huku wakiendelea kufanya kazi kama kawaida?
Kama unaamini waliyokufa hawawezi kufufuka basi sawa ila kinyume na hivyo lete ushahidi na ndiyo maana nilikuuliza ulishawahi kufa?
Mkuu nishakwambia acha kukariri haya madubwasha,nani aliwahi kuwa masikini kwa kutoa sadaka?umaskini unaoletwa na hiyo imani ya dini..maskini kibao na bado wanaenda kutoka sadaka yani kujiongezea umaskini..
Angalia sasa hoja yako et "tangu umezaliwa ushawahi kumuona mtu aliyefufuka?"usiwe unaongea maneno ya matumaini na ya kufikirika hivi unafufukaje huku baada ya miaka 4 wakifukua kaburi lako hawakuti kitu.. unataka ushahidi upi tena.. tangu umezaliwa ushawahi kumuona mtu aliyefufuka!! Duh napata shida sana kukuelewesha sijui nitumie njia gani ..
Inampaje mzungu thamani?Mzungu ana akili sana, ila nacho shukuru binafsi namzidi mzungu kwa kufata misingi ya Afrika.
Moja sitambui Biblia maana Biblia ina ujinga mwingi wa kumpa Mzungu thamani.
Pili nafata Vitu vyenye ushaidi kama Mwl Nyerere na Bob Marley najua walikuwepo sifati history ya matango pori.