Hivi ni Arsene au Arsenal?!Niliona picha ya kocha wa Arsenal Wenger kwenye CAMPSITE moja Serengeti National Park.
Hahaaa Arsene bhanaHivi ni Arsene au Arsenal?!
mkuu hebu jaribu kidogo kuondoa utumwa uliokuwa nao jaribu kuipenda nchi yako achana na usa baby
mh huu ushauri ungempa akiwa kijana sasa na uzee huo cjui kama ataelewamkuu hebu jaribu kidogo kuondoa utumwa uliokuwa nao jaribu kuipenda nchi yako achana na usa baby
jamaa mtumwa sana kama vile ye ndo mtanzania pekee aliyeishi marekani ushamba bwanamh huu ushauri ungempa akiwa kijana sasa na uzee huo cjui kama ataelewa
mkuu hebu jaribu kidogo kuondoa utumwa uliokuwa nao jaribu kuipenda nchi yako achana na usa baby
unajisikia fahari gani kuwa baby siter cleveland au even new york or LA kuwatunza mataira na watoto kuliko kuwa mkulima wa matikiti kisarawe au mchele kyela
unajisikia fahari gani kuwa baby siter cleveland au even new york or LA kuwatunza mataira na watoto kuliko kuwa mkulima wa matikiti kisarawe au mchele kyela
aya basi naona povu linatoka sasa lakini tumechoka na U.S.A baby dont mind ma nigger you still the special one in jf tchaoo1] Kwani mimi ni babysitter huko Cleveland au New York?
2] Hao ma housegirl wa Dar au Mwanza ushawahi kuwauliza wanajisikia fahari gani kuwa ma housegirl?
3] Kuna ubaya gani kuwa babysitter wa watoto au kuwatunza mataahira huko LA?
4] Mataahira siyo binadamu? Hawastahili matunzo? Na watu wanaowatunza siyo binadamu wenye thamani?
5] Wewe ni mpuumbavu, zumbukuku, na zuzu kwa mpigo!
6] Jali maisha yako. Ya wengine waachie wenyewe.