Ujio wa Usher Raymond Tanzania July 10 sema hutomuona kirahisi

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,208
Ugeni mwingine ambao Tanzania imekua ikitarajiwa kuwa nao toka juzi ya July 9 2016 ni ujio wa mwimbaji staa kutoka Marekani Usher Raymond ambaye anakuja Tanzania na moja kwa moja kwenda mbugani Serengeti. Taarifa zilizosogezwa karibu yangu ni kwamba Usher anacho kibali cha kuwinda na uwindaji ataoufanya ni kwa kutumia Upinde na mkuki na ni kuanzia July 10 mpaka 19.

Usher anakua sio staa wa kwanza wa dunia kuja mbugani Serengeti nchini Tanzania, wengine wengi wameshawahi kuja akiwemo Mtangazaji Oprah Winfrey ambapo wengi wao huja lakini kwa kutotaka kutangaza au ijulikane, mpaka akiondoka ndio unaona kapost kwamba alikuwepo Tanzania.

Nilipojaribu kuutafuta uongozi kupata taarifa za zaidi nimeambiwa mara nyingi Mastaa wengi hupenda kujificha wanapokuja na hata hawataki ijulikane na wakati mwingine hawataki kupigwa hata picha lakini ikitokea chochote tutakusogezea.
 
USA baby
upload_2016-7-11_13-32-54.png
upload_2016-7-11_13-32-56.png
upload_2016-7-11_13-32-57.png
.
 
Niliona picha ya kocha wa Arsenal Wenger kwenye CAMPSITE moja Serengeti National Park.
 
Alikuja Zanzibar mwaka juzi Kerry Washington aliyecheza Django unchain, series ya scandal, little man na nyingine nyingi tu, lakini alikataa kupiga picha na mtu yoyote, alikuwa na mumewe mcheza NFL Nnamdi Asomugha raia wa Nigeria anayeishi marekani, ila Danny Glover alikuwa anapiga picha na yoyote tu, na hata Adewale Akinnuoye-Agbaje ( Mr. Ecko kwa series ya LOST alikuja mwaka jana ) walikuwa wako ok kupiga picha na yoyote, ila Ecko alikuwa selective,
 
unajisikia fahari gani kuwa baby siter cleveland au even new york or LA kuwatunza mataira na watoto kuliko kuwa mkulima wa matikiti kisarawe au mchele kyela

1] Kwani mimi ni babysitter huko Cleveland au New York?

2] Hao ma housegirl wa Dar au Mwanza ushawahi kuwauliza wanajisikia fahari gani kuwa ma housegirl?

3] Kuna ubaya gani kuwa babysitter wa watoto au kuwatunza mataahira huko LA?

4] Mataahira siyo binadamu? Hawastahili matunzo? Na watu wanaowatunza siyo binadamu wenye thamani kama watu wengine?

5] Wewe ni mpuumbavu, zumbukuku, na zuzu kwa mpigo!

6] Jali maisha yako. Ya wengine waachie wenyewe.
 
1] Kwani mimi ni babysitter huko Cleveland au New York?

2] Hao ma housegirl wa Dar au Mwanza ushawahi kuwauliza wanajisikia fahari gani kuwa ma housegirl?

3] Kuna ubaya gani kuwa babysitter wa watoto au kuwatunza mataahira huko LA?

4] Mataahira siyo binadamu? Hawastahili matunzo? Na watu wanaowatunza siyo binadamu wenye thamani?

5] Wewe ni mpuumbavu, zumbukuku, na zuzu kwa mpigo!

6] Jali maisha yako. Ya wengine waachie wenyewe.
aya basi naona povu linatoka sasa lakini tumechoka na U.S.A baby dont mind ma nigger you still the special one in jf tchaoo
 
Back
Top Bottom