Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,955
- 95,276
Afadhali huo mzimu utupishe maana umetutesa sana kwa umasikini
CCM BYE BYE...
#LISSURAIS2020
CCM BYE BYE...
#LISSURAIS2020
Yaani kuna nguvu fulani inatengeneza njia
Ungenipa mfano wa amiri jeshi m1 tu duniani ambae ni kilema ningeamini ya kwamba kweli nina akili ndogo. Tofauti na hivyo nakuona wewe una akili ya konokono
Kumbe na wewe huwa ni mtu wa mihemko!
Tatizo la Zitto ni ubinafsi lkn pia washauri wake wengi wao ni watu wenye tamaa ya utawala
Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.
Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"
Paskali
Huo ndiyo kitu inaitwa MTITII
Hujajibu hoja.Kuchagua mkuu wa nchi kwa kuangalia uwezo wake wa kukagua gwaride ni sawa na kuchagua mke kwa kuangalia kalio lake
Kwani Chadema wameshampitisha Lissu kuwa mgombea wao?
Nilichojifunza hapa sio wote walioko ccm ni wanaccm wengine ni wafuata upepo tu
Project ya ccm kupitia lipuumba imefanikiwa kwa 100% kuimaliza cuf, alafu kuna baadhi ya watu bado wanamkubali Lipumba
CUF hata mbunge mmoja haitapata safari hii na ruzuku bai bsi
Hama huko kwa mashetani ya kijani ungana na wananchi.
CUF hata mbunge mmoja haitapata safari hii na ruzuku bai bsi
Wengi ni mlo tu siyo itikadi na itikadi yao hivi sasa ni mlo tu hawana jingine
Dar mnaendeshwa kwa mihemko mno
Wewe ni mjane sasa baada ya Bashite kukuwachaKwa lipi haswa!!..
Watu kwenda kumpokea mgonjwa aliyepona.. au.. mtu anayeweza kuwa kiongozi wao?..
Muwe munafikiria nje ya kaboksi..
2020 Magufuli bila wasi kwabisaaaaa..
Mwaandeeni mtu wenu kukubali matokeo hiyo ndiyo khabari ya mujini
Jibu niliyokuuliza.. leo amepokelewa mgonjwa aliyepona.. Mola mwema.. kuongoza nchi hata wewe unafahamu.. hawezi..
Wachumia matumbo!Nilichojifunza hapa sio wote walioko ccm ni wanaccm wengine ni wafuata upepo tu