Ujio wa Tundu Lissu na shamrashamra za mapokezi makubwa zaashiria CCM kutupiwa virago na wapiga kura Oktoba hii

Kuchagua mkuu wa nchi kwa kuangalia uwezo wake wa kukagua gwaride ni sawa na kuchagua mke kwa kuangalia kalio lake
Ungenipa mfano wa amiri jeshi m1 tu duniani ambae ni kilema ningeamini ya kwamba kweli nina akili ndogo. Tofauti na hivyo nakuona wewe una akili ya konokono
 
Ombi langu kwa Zitto angaliaeni namna yakumsaport Lissu kisha muachiane majimbo ya uchaguzi, mwende 2025 nawazo lakuunganisha vyama vyenu kizaliwe chama kimoja, wewe Zitto nimtoto wa CDM tafadhari angalia namna yakushirikiana na Kaka yako Mbowe tuchukue nchi mapema.
Tatizo la Zitto ni ubinafsi lkn pia washauri wake wengi wao ni watu wenye tamaa ya utawala
 
Yaani wewe pascal nashindwa hata jinsi ya kukuhukumu
Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.

Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"

Paskali
 
Kuchagua mkuu wa nchi kwa kuangalia uwezo wake wa kukagua gwaride ni sawa na kuchagua mke kwa kuangalia kalio lake
Hujajibu hoja.

Duniani umewahi kumuona amiri jeshi kilema? Usilete mifano ya kinyimbu hapa.
 
Kwa lipi haswa!!..
Watu kwenda kumpokea mgonjwa aliyepona.. au.. mtu anayeweza kuwa kiongozi wao?..

Muwe munafikiria nje ya kaboksi..

2020 Magufuli bila wasi kwabisaaaaa..
Wewe ni mjane sasa baada ya Bashite kukuwacha
 
Back
Top Bottom